Polepole: Ukitukana tusi moja namchomoa Kiongozi mmoja DSM

Polepole: Ukitukana tusi moja namchomoa Kiongozi mmoja DSM

nimeamini hawa madiwani wanachomolewa. ccm inanunua wapinzani. ni aibu sana...
 
Aina ya siasa anazozifanya huyu Hamfrey ni za kishamba kwelikweli. Badala ya kutumia pesa kununua panado Hampfrey anatumia pesa kununua madiwani na viongozi wengine wa upinzani.
 
Nauliza swali tena hivi hata wakihamia wooooote ndio nchi itakuwaje???
 
Kama mwenezi anakiri anasubiri tusi achomoe mtu, hivi tunahitaji degree kujua kuwa pana biashara hapa?!
 
Back
Top Bottom