Quinine Mwitu
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 5,530
- 6,126
ujue watu wanatumia logic,hivi inawezekana mbunge au diwani akaacha nyadhfa zote alizo nazo alafu anaenda CCM just kumuunga tuu JPM mkono yaani huko akifika anabaki mwananchama wa kawaida kama walivyo wengine,sidhani kama Tanzania kuna wazalendo wa kiasi hicho,kwani mimi nikifanya kazi kwa bidii huku mtaani jee simuungi mkono raisi au mpaka nije aliko yeye?Chadema kwanini mnajificha nyuma ya kununuliwa?