K W L
JF-Expert Member
- Jun 28, 2013
- 232
- 48
Me nadhani hii biashara ndio inayowalipa zaidNaona biashara ya Ujenzi wa Viwanda ndio imekufa rasmi sasa..
Ni mwendo wa CCM kununua Viongozi wa CHADEMA tu.
Me nadhani hii biashara ndio inayowalipa zaidNaona biashara ya Ujenzi wa Viwanda ndio imekufa rasmi sasa..
Ni mwendo wa CCM kununua Viongozi wa CHADEMA tu.
Ahaa me nadhan wakifuta upinzani usa hawatatoa msaadaCoz mmetenga 5bil kwaajili ya gulio la viongozi.
Sasa yanini yote haya? Tufute tu upinzani simple and clear... Mkifuta upinzani automatically sote tutakua CCM na mtafanya kazi kiulaini sana.
Wa kulaumiwa ni mnunuzi na sio muuzaji, kwa nini ununue watu?Sasa kama viongozi wa Chadema wanajiuza sisi tuwasaidieje?kwi kwi kwi....!!
Kwa sababu wapo sokonWa kulaumiwa ni mnunuzi na sio muuzaji, kwa nini ununue watu?
Hivi ni kweli kwamba chadema mnajiuza?
Inawezekana wanauzwa na chama kipate hela.
Kwa watu wenye akili 'haba' kama wewe kusema hivyo sawa, ila wenye akili hawawezi sema haya. Ulitakiwa uwahurumie wale wanaodhulimiwa fedha hizi ambazo zilitakiwa zikawapatie huduma muhimu ila sasa zinatumika kuhonga/rushwa.Polepole usichomoe mmoja tu, chomoa wapinzani wote kwa mkupuo. Maisha yenyewe mafupi haya kutwa kucha tunasikia stori zile zile za kuhama kwa mafungu mafungu kama nyanya mpaka zimetuchosha.
Ndo kwanza ataitwa mzalendo na kupandishwa cheo
Mnachomoa tukichomeka!!Hivi ni kweli kwamba chadema mnajiuza?
Jina lako linasadifu mauzui huna tofauti na shaka na yule bwana wa uvccm tanga mjini ambacho sina uhakika ni nani anamuuzia mwenzake kati ya shaka na yule bwanakSasa kama viongozi wa Chadema wanajiuza sisi tuwasaidieje?kwi kwi kwi....!!