Polepole sio mtu mwema ni muhuni sana

petr15

Member
Joined
Aug 25, 2025
Posts
38
Reaction score
35
Uharifu wake upowanzi kwa sas anachokifanya leo analetaa uhuni kama alivyo kuwa na lugha za kidikteta kwenye awamu ya 5, Taifa letu kwa sasa hatuko tayari na kwa uhuni anaoufanyaa ima achache imaa aendelee kuwaa chawa na watu alionao kwenye paaziaahaijapatakutokea.
Your browser is not able to display this video.
 
Wahuni mnaendelea kutuma wahuni wenzenu. Hadi sasa hayupo aliye weza kumkabili polepole hata 2% ,haita saidia chochote mnatapatapa na mafisadi yenu
 
kumbe ni wa jana...rubbish
 
Jinga kabisa wewe
 


ILA MKE WAKE AKIONA UPO OBSSESSED HIVI NA MUMEWE ATAKASIRIKA. WE UMRI HUO UNATAKA UOLEWE NAYE KWELI? HAYA.
 
Mwema ni Azizi na Jk.
 
ukiona uvccm wanakushambulia ujue kuna jambo kubwa ~ subtitle by polepole
 
Mfanyakazi wa Mbowe
 
Mna mambo mengi mnalindana,akichomoka mmoja kuyabwaga mnaanza kumzonga.Jifunzeni kutenda mema uongozini,itasaidia kuepuka hizi aibu ndogondogo.
Msipokaa sawa,soon Kuna mwingine anachomoka kuyabwaga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…