Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,079
- 4,892
Labda waibwage Chadema wana nguvu gani za kiasisa? Vyeo vyote wamepewa na CCM alishindwa Lowasa alikuwa na watu .Wadau Nawasalimu
Watanzania tunasubiri Kujua Hatima ya Makada 3 wa CCM ambao Wanatakiwa kufika mbele ya Kikao Kizito cha Chama.Makada hao ni Pamoja na Humphrey Polepole,Jerry Slaa na Askofu Gwajima.
Kwa jinsi Walivyojipanga MAKADA hao Wataibwaga CCM Mchana Kweupe bila Ubishi na KUOMBWA RADHI kutokana na Jinsi Walivyo Muhimu kwenye Chama chao.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
Naona siku hizi Ritz umerudi kwa kasi jukwaani baada ya yule mtawala wa kusukuma kudanja. Hichi kibibi cha kikojani huenda kitakuwa kinakulipa fresh.Labda waibwage Chadema wana nguvu gani za kiasisa? Vyeo vyote wamepewa na CCM alishindwa Lowasa alikuwa na watu .
Angekuwa na madini hasingemkumbatia shetani.Namkubali mh PolePole anajua kujenga hoja na ana madini mengi kichwani
Na miezi sijapost humu zaidi ya jana na leo, wewe unakula kiuraini tu michango ya Mbowe mnaomba afie jela mzidi kupiga pesa daaah siasa hizi.Naona siku hizi Ritz umerudi kwa kasi jukwaani baada ya yule mtawala wa kusukuma kudanja. Hichi kibibi cha kikojani huenda kitakuwa kinakulipa fresh.
Unaiwaza Chadema kuliko hata unavyomuwaza mume wako.Labda waibwage Chadema wana nguvu gani za kiasisa? Vyeo vyote wamepewa na CCM alishindwa Lowasa alikuwa na watu .
Mimi muuza kahawa tu hata laki 2 sina mbona umetaja pesa nyingi.Hawana maisha mkuu, hizi kelele zote itakuta benki hâta 50M haifikii😅. Wajinga kabisa hawa.
Kama ni kufeli darasani hata Pole Pole ni failure, tena failure mbaya akiwa secondary.Hâta kama alizidiwa n'a nguvu ya pesa kiasi kwamba akaonekana ni miongoni mwao, bado naamini Polepole ni aina ya vijana wanaojua kujenga hoja na wenye madini mengi kichwani ambao ni nadra sana kuwakuta kule CCM.
ASILI ya CCM ni watu incompetent kuanzia mkuu wao wa sasa ambaye hâta form four tu alifeli na wengine wote, habu fikiria Nape , Makamba Eti ndo think tanks na vijana wa baadae wa chama, mtu kama Steve Nyerere nae eti ni kada😀, haya mambo utayakuta huko tu.
Yule hayati alijua kabisa CCM kumejaa vilaza wengi ambao hawawezi kumshauri vizur ndomaana aka- recruit vijana nje ya chama kisha akawatumia na baadhi ya wazee wa zamani ambao wrote wamewauwa kwa kisingizio cha wimbi la corona , huyu wenu kaamua kukumbatia vilaza na wajinga matokeo yake nchi inenda kijingakijinga tu.
CCM imefeli pakubwa sana.
Hahaha nilijua lazima hili choko lije kujibu bakora zangu siyo mchezo bi mkubwa atakuwepo peponi hahahaUnaiwaza Chadema kuliko hata unavyomuwaza mume wako.
TakbiiirHahaha nilijua lazima hili choko lije kujibu bakora zangu siyo mchezo bi mkubwa atakuwepo peponi hahaha
Machoko hawa hahahhaah
Sukuma gang shishi gang konde gang most expensive gang we have in TanzaniaHalmashauri kuu imejaa Sukuma gang ndio sababu mpira umerudishwa kwa kipa!