Kwenye press aliyofanya aliyowahi kuwa balozi wa Tanzania kutoka Cuba anayejulikana Kama Humphrey Pole pole amesema ameshangazwa na sera anazoahidi mgombea wa uraisi wa CCM Rais Samia kuwa ni sera ambazo hazikutakiwa kuahidiwa na Taasisi kubwa Kama ya uraisi.
Huwezi kuahidi wananchi kuwa wakikuchagua kuwa mgombea wa uraisi utawajengea soko kitu ambacho mmeshindwa kufanya miaka yako uliokaa madarakani Kama issues tu ya kusimamia mabasi ya mwendokasi ambayo mnapata hela nyingi kupitia nauli za raia na mmeshindwa kufanya marekebisho ya kutosha.
Je, hizo pesa zinaenda wapi? Je, Mambo gani makubwa mtafanya Kama hizi issue ndogo zinawashinda kutekeleza
Nini maoni yako juu ya kauli hii ya Polepole