Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,499
Polepole Septemba 30, 2025 aliendelea kusisitiza kuwa uteuzi wa Dkt. Nchimbi kama mgombea mwenza wa Rais Samia, ulikumbwa na kashikashi ambazo zilipelekea kutaka kumtoa. Lakini wale anaowaita CCM mtandao walimtisha mama Samia kuwa hatakiwi kumtoa Emmanueli Nchimbi.
Polepole anasisitiza kuwa uchaguzi hautakiwi kufanyika katika mazingira kama hayo kwani unakuwa hauna tofauti na kubet.
Polepole anasisitiza kuwa uchaguzi hautakiwi kufanyika katika mazingira kama hayo kwani unakuwa hauna tofauti na kubet.