Polepole: Rais Samia nakuheshimu bali sikuogopi

Polepole: Rais Samia nakuheshimu bali sikuogopi

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,450
Reaction score
5,278
Polepole: Rais Samia nakuheshimu bali sikuogopi na nitakwambia ukweli, ndio maana nilipojiuzulu nilisema wacha kwanza mama asitumie pesa yake anayowasimamia Watanzania kunilipa mimi wakati ni namkosa wakati nina muheshimu nikajiuzulu

Watu wa Cuba nawakubali sana katika mission zao.... Polepole ukikosea hisabati utakua umeyakosea hadi makaburi yanayoteta
 
Kama amuogopi aje aitishe hizi taka taka zake za kuitwa press mchana wa jua kali hapa nchini kama nafsi yake haijagawanyika na mwili.
 
Kama amuogopi aje aitishe hizi taka taka zake za kuitwa press mchana wa jua kali hapa nchini kama nafsi yake haijagawanyika na mwili.
Kwamba unamchagulia Adui silaha ya kukupiga nayo?
 
Ila wewe ambaye unafuata MKUMBO WA SAMIA ndio uko sawa, sivyo? Puumbafu
Mimi sifuati mkumbo wa wanasiasa kwasababu nina akili timamu,ila nyinyi msio kuwa na akili ndo mmegeuzwa kama wana sesele na wanasiasa.
Ahiitaji elimu ya chuo kikuu kujua kuwa hizi babaja za pole pole ni arosto ya madaraka aliyo poteza ndo ipo inamsumbua hakuna haki yeyote anayo ipigania.
 
Crap!!
Kwani Pole Pole alifukuzwa au kuondolewa kwenye madaraka? Mbona inaonekana huelewi chochote?

Mtu ambaye ametafakari na kuamua kuachia nafasi yake utasemaje kuwa amekosa madaraka au amewekwa nje ya mfumo wa utawala!
 
Back
Top Bottom