Polepole: Nimekuja Dar es Salaam 1988 na hadi leo ninadunda bila wasiwasi, maisha yangu hayategemei ubunge

Pole pole ndio shujaa wetu pekee alieamua kubaki na wananchi sio wauza nchi.

Hata akifa leo tutasema kafa akiwa shujaa katikati ya mapambano.

Hoja zake haziwezi kufutika kwetu km alivyo Magufuli.

Tatizo wanaompinga Polepole hawajibu hoja zake zaidi ya kumshambulia binafsi. Wameshindwa kabla
hawajaanza.

Tuliopembeni tunausoma mchezo tu
 
huyo siyo shujaa hata kidogo, na ukimtarajia hivyo utaishia kuumia roho yako..

huyo anaendana na hali na upepo wa wakti uliopo. yupo kama jani kwny mti, mvua ikinyesha linakuwa la kijani kibichi na kuunawirisha mti, jua likija hubadilika na kuwa njano au kahawia, mwishoe hudondoka na kuutelekeza mti..

huyo polepole kipindi ya mwendazake, angekuwa bado kwny zile viiieeite zenye kiyoyozi, na akatokea polepole mwingine wa aina yake, wasinge mruhusu aongeee kama anavyo ongea yeye sasa hivi. alihusika sana kunyamazisha watu kuongea kwamba wanajenga nchi..
sioni kwann analalama akiambiwa nyamaza kama alivyokuwa anawaambia wengine wanyamaze. amshukr mama ana uvumilivu

polepole wakt wa katiba, aliponda sana cheo cha ukuu wa wilaya na matumiz ya anasa ya hayo mashangingi kuwa ni gharama kwa serikali, alipopewa hicho cheo chanukuu wa wilaya na hizo gari, aliishia kula matapishi yake.. akawa ni mtu wa aina ingine kabisa, alifika mahali akasema ccm inabebwa tu na vyombo vya dola, uchaguzi ukiwa huru na haki ccm nje..

polepole ni kama radio tu, wa kupuuzwa maana radio hubadilika kutokana na kinacho ongewa kwenye vipindi tofauti tofauti, kuna mda itaongea habari za kufurahisha na kuna wakt itaongea misiba ya kusikitisha, yote hayo husikika kutoka kwny radio hiyo hiyo moja.

anacho kikosa yeye ni msimamo, hajui anasimamia wapi zaidi ya msalahi yake binafsi.
 
Hahahaaa... Na mimi niliyeingia Dar 1991 nina umri gani sasa? Tena kwa treni. Mara ya kwanza nikaona watu wanachamba kwa maji!! Niliona kinyaa yaani.
Vipi huko ulikotoka wanachamba kwa gunzi au majani?Tokea lini kuchamba kukawa sio kinyaa na ni jambo la kufurahisha.Ukiwa mzima wa akili basi mavi lazima yawe kinyaa.
 
huyo siyo shujaa hata kidogo, na ukimtarajia hivyo utaishia kuumia roho yako..

huyo anaendana na hali na upepo wa wakti uliopo. yupo kama jani kwny mti, mvua ikinyesha linakuwa la kijani kibichi na kuunawirisha mti, jua likija hubadilika na kuwa njano au kahawia, mwishoe hudondoka na kuutelekeza mti..

huyo polepole kipindi ya mwendazake, angekuwa bado kwny zile viiieeite zenye kiyoyozi, na akatokea polepole mwingine wa aina yake, wasinge mruhusu aongeee kama anavyo ongea yeye sasa hivi. alihusika sana kunyamazisha watu kuongea kwamba wanajenga nchi..
sioni kwann analalama akiambiwa nyamaza kama alivyokuwa anawaambia wengine wanyamaze. amshukr mama ana uvumilivu

polepole wakt wa katiba, aliponda sana cheo cha ukuu wa wilaya na matumiz ya anasa ya hayo mashangingi kuwa ni gharama kwa serikali, alipopewa hicho cheo chanukuu wa wilaya na hizo gari, aliishia kula matapishi yake.. akawa ni mtu wa aina ingine kabisa, alifika mahali akasema ccm inabebwa tu na vyombo vya dola, uchaguzi ukiwa huru na haki ccm nje..

polepole ni kama radio tu, wa kupuuzwa maana radio hubadilika kutokana na kinacho ongewa kwenye vipindi tofauti tofauti, kuna mda itaongea habari za kufurahisha na kuna wakt itaongea misiba ya kusikitisha, yote hayo husikika kutoka kwny radio hiyo hiyo moja.

anacho kikosa yeye ni msimamo, hajui anasimamia wapi zaidi ya msalahi yake binafsi.
Upuuzi mtupu!
Usimjadili Polepole km Polepole. Jadili hoja zinazotolewa na Polepole.
 
Kwahiyo kila anaeweza kuishi mjini akimtunishia Rais misuli hii nchi itakuaje? Polepole kuweza kwako kuishi bila kutegemea ubunge c kigezo cha kumtukana na kumdhalilisha Rais utakavyo.. ukome km ukivyokoma kunyonya ziwa la mama yako!
 
Mbona cultural shock ni kitu cha kawaida duniani? Vipi na wewe mshika kinyesi bila glove, nini? Mbona unahamaki hivyo? Huko kwetu tunachamba kwa toilet paper. Bila shaka umeelewa.
Vipi huko ulikotoka wanachamba kwa gunzi au majani?Tokea lini kuchamba kukawa sio kinyaa na ni jambo la kufurahisha.Ukiwa mzima wa akili basi mavi lazima yawe kinyaa.
 
Huyo boya kapiga sana pesa za kununua wabunge awamu iliyopita.

Alikuwa mungu mtu huyo, Hawa ndio waliovuruga uchagizi. Pumbafu sana huyu na bashiri
Nape alisema watashinda hata kwa bao la mkono. Ccm wote ni wahuni ingawa wamezidiana.
 
Komredi Polepole atulie.....

Hivi hajifunzi kwa wenzake walioiva itikadi za chama kama komredi Dr.Emmanuel Nchimbi ?!!!!

Kelele zake ni kipimo tosha kuwa hakuiva vyema itikadi ya CCM na uvumilivu wa kiuongozi.......

#Siempre CCM💪
Kelele zinapigwa na yule anayedai chama kimerudi kwa wenyewe. Je, wenyewe ni nani!? Akina Makamba wanaonadi mgao wa umeme!? Au akina msoga shoga zake akina gsm na wapigaji wengine!?
 
Back
Top Bottom