Polepole: Nilinusurika kutekwa katika kipindi cha Magufuli

Polepole: Nilinusurika kutekwa katika kipindi cha Magufuli

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
34,776
Reaction score
46,050
Kwa hali hii: "Watesi wetu leo, siyo watu wale wale?"

Kaeleza Polepole kuwa almanusura ya Mdude, Soka au wote waliotoweka yalikuwa yamkute yeye wakati akiwa karibu na Jiwe kiasi kile. Kwamba Magufuli mwenyewe almanusura mara tatu ilikuwa wamtoe roho!

Kwamba ya Mangula, yule taxi driver, zile codes na majina kwenye karatasi kuhusiana na Kibiti - Mkuranga ni wana network wale wale.

Kwamba mwana net apigana hadi na nguvu za ngiza upande wake? Watajivua vipi hao ndugu na kupotea kwa akina Ben au yaliyomkuta mwanetu TAL?

Kwamba walituingizia kinyemela vile hadi mamvi, walishindwa nini hawa kumchomkea nani msala?

Kasema Polepole hawa ndugu hugombana kama mafisi, si kwa kumhurumia mhanga bali kupata fursa ya kumla zaidi. Kwamba kwenye kumla wao ni wamoja!

Kama hali ndiyo hii nani yuko salama wapi? Ni huku JF?
 
Kaeleza Polepole kuwa almanusura ya Mdude, Soka na waliotoweka yalikuwa yamkute yeye wakati akiwa karibu na Jiwe kiasi kile.

Kwamba ya Mangula na ya yule taxi driver na macodes na majina kwenye karatasi kuhusisha Kibiti Mkuranga ni wana net wale wale.

Kwamba mwana net apigana hadi na nguvu za ngiza upande wake? Watajivua vipi hao ndugu na ya kina Ben au ndugu yetu TAL?

Kasema Polepole hawa ndugu hugombana kama mafisi, si kwa kumhurumia mhanga bali kupata fursa ya kutula zaidi. Kwamba kwenye kumla ni wamoja.
Screenshot_20250613-122647~2.png
 
Dahhh.....!

Means CCM Mtandao ndiyo wanamiliki kikundi Cha Utekaji na mauaji!?
 
hahahahahaha aeleze pia nao walijaribu mara ngapi kumlambisha mchanga yule mzee.
hahahaha mbona hata yule mzee nyie ndio mlimuanza? imekuaje tena mnakuja kumlaumu?....

yule Mzee hana hizo pigo bwana za kulambishana mchanga labda incase huwa ana adhabu zake tu za kiaina, ndio maana hata morani alivyojaribu alitulizwa tu.
hata burushi alinyooshwa kipindi fulan akakimbia kambi na nyie ndio mlimrudisha kwa tamaa zenu.

Kijana anasahau speed waliokuwa nayo na tamaa mpaka kuwakorofisha watch dogs kwenye zile program zao za kipumbavu za kuwaleta wale jamaa sebuleni ambapo mpaka sasa mmewapa watu kazi ngumu ya kuwafagia, na Ile ndio ilikuwa amongst your big failure inayowafanya mpaka Leo msiaminike.

safarini Hodeidah Yemen.
 
Back
Top Bottom