implicit memory
JF-Expert Member
- Nov 14, 2024
- 2,109
- 2,155
😂ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜
Thibitisha kuwa fix
Thibitisha kuwa fix
seriously, huyo Mabeyo ameingia vipi hapo kwenye silaha wakati yeye tayari ni mstaafu?
Inaonyesha dhahiri huu ni uongo wa kuharibia nchi usalama wake kwa kuleta fitina na chokochoko
Ni alikosea anapotaja jina ameandika kwenye caption yake sio mabeyoseriously, huyo Mabeyo ameingia vipi hapo kwenye silaha wakati yeye tayari ni mstaafu?
Inaonyesha dhahiri huu ni uongo wa kuharibia nchi usalama wake kwa kuleta fitina na chokochoko
Kama umeona ni kelele songa mbele low IQJibuni hoja za Polepole mengine mnatupigia kelele tu!
Alikosea au alipewa taarifa siyo sahihi baadae akatanabahishwa?Ni alikosea anapotaja jina ameandika kwenye caption yake sio mabeyo
MafisiKwa hali hii: "Watesi wetu leo, siyo watu wale wale?"
Kaeleza Polepole kuwa almanusura ya Mdude, Soka au wote waliotoweka yalikuwa yamkute yeye wakati akiwa karibu na Jiwe kiasi kile. Kwamba Magufuli mwenyewe almanusura mara tatu ilikuwa wamtoe roho!
Kwamba ya Mangula, yule taxi driver, zile codes na majina kwenye karatasi kuhusiana na Kibiti - Mkuranga ni wana network wale wale.
Kwamba mwana net apigana hadi na nguvu za ngiza upande wake? Watajivua vipi hao ndugu na kupotea kwa akina Ben au yaliyomkuta mwanetu TAL?
Kwamba walituingizia kinyemela vile hadi mamvi, walishindwa nini hawa kumchomkea nani msala?
Kasema Polepole hawa ndugu hugombana kama mafisi, si kwa kumhurumia mhanga bali kupata fursa ya kumla zaidi. Kwamba kwenye kumla wao ni wamoja!
Kama hali ndiyo hii nani yuko salama wapi? Ni huku JF?