Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,770
- 1,173
Aliyewahi kuwa mjumbe wa kamati kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM na mbunge wa Jimbo la Igunga kwa miaka 18, mfanyabiashara Rostam Aziz amesema ukosoaji unaofanywa na Balozi Humphrey Polepole juu ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Chama cha Mapinduzi ni kutokana na kiongozi huyo kutokuwa kuwa na historia na CCM na kuwa alipewa tu nafasi baada ha uchaguzi mkuu wa 2015, nafasi ambayo Rostam anadai Polepole hakustahili.
Rostam hakuishia hapo Kwani amesema Polepole ni mwana CCM wa Itifaki na Maslahi na sio mwana CCM wa Itikadi na ndio maana anaweza kuhoji maamuzi ya mkutano mkuu ambapo ni kuwatukana wajumbe wote wa mkutano ule.
Una maoni gani kwa Rostam Aziz?