Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 57,103
- 128,722
Wanabodi,
Jana nilipandisha bandiko hili humu jukwaani Polepole, Ubalozi kwaheri. Huwezi kukata tawi la mti uliokalia. Shuka kwanza chini, simama kwa pembeni ndipo upige hilo shoka moja Mbuyu chini
Leo hilo jambo, limetokea kweli GE2025 - Rais Samia atengua uteuzi wa Humphrey Polepole. Amuondolea hadhi ya Ubalozi
Hii maana yake sasa unapangiwa mikakati ya kushughulikiwa kikamilifu. Unachotakiwa kufanya ni kujitoa rasmi CCM, ndipo uendeleze mapambano ukiwa nje ya CCM tena mahala salama!.
Kwa msio ijua serikali, serikalini kuna watumishi wa aina mbili, kuna watumishi wa kawaida wa serikali, hawa wanaweza kuacha kazi wakati wowote na maisha yakaendelea, na kuna watumishi wa serikali, wale wa kazi mbili mbili, hawa hawawezi kuacha kazi wakabaki salama, wale jamaa wa ile kazi ya pili lazima watakutafuta na kumalizana nao.
Tangu mwanzo nimemshauri sana
Ushauri kwa Balozi Polepole
Na sasa namshauri, ajitoe mwenyewe humo CCM alimo, atafute mahala salama, sio nchi za ngozi nyeusi, ndipo awe huru kutapika nyongo anavyotaka.
Asipojitoa mwenyewe sasa hivi bado mapema, atafukuzwa CCM kwa kuvuliwa uanachama, tena sio tuu wataichukua kadi yake tuu ya chama, ili kumkomoa wanaweza kumny'ang'anya hadi lile Gamba lake, (passport) na kumuanzishia uchunguzi wa uraia!.
HP Please do the needful the sooner the better!
Paskali。

- GE2025 - Ushauri wa Bure kwa Balozi Polepole, Usitatizwe na Wahuni!, Rais wa TZ 2025 Hawekwi na Wahuni, CCM au Watanzania, Anawekwa na YEYE Pekee!. Jinyamazie!
- Ushauri Balozi HP: Ukiongoka, Kujitenga na Uovu na Kusema Ukweli, Sema Ukweli Wote Sio Ukweli Nusu Nusu!. Jitenge Jumla Sio Mguu Ndani, Mguu Nje!
- GE2025 - Alichokifanya Polepole, Kumbe Sio yeye!, Ni Ule Mwanga!, Sasa Anatakiwa Kusimama Pembeni Mazima na Sio Mguu Ndani, Mguu Nje!. YEYE ATATENDA!.
- Kati ya Walimzunguka Mfalme na Kumsifu Alivyopendeza na ile Invisible Robe, na yule mtoto aliyemweleza ukweli, kuwa yuko, nani anamsaidia kweli?
- Polepole: Shujaa, Mzalendo wa Kweli Kama Nyerere, Kang'atuka Kama Nyerere!, Amesema Ukweli Nusu!, Je Atoe Mguu Nje Aseme Ukweli Wote, Apewe Maua Yake?