Polepole ni Mhuni namba moja kwenye CCM - Mafufu

Polepole ni Mhuni namba moja kwenye CCM - Mafufu

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,770
Reaction score
1,173
Polepole ni Mhuni namba moja kwenye CCM - Mafufu
 

Attachments

  • VID-20250719-WA0024.mp4
    23 MB
  • VID-20250719-WA0017.mp4
    17 MB
  • VID-20250719-WA0020.mp4
    32 MB
  • VID-20250719-WA0022.mp4
    25.5 MB
  • VID-20250719-WA0023.mp4
    20.2 MB
  • VID-20250719-WA0018.mp4
    25.7 MB
  • VID-20250719-WA0019.mp4
    21.1 MB
  • VID-20250719-WA0021.mp4
    24.7 MB
Eti bongo movie anamjibu polepole 😄
Hata anachongea haeleweki
Hii nchi iko kisaniii sanii sana

Ova
 
Polepole ni Mhuni namba moja kwenye CCM - Mafufu
Sasa nae huyu ni nani katika serikali au ccm? Wanaotakiwa kujibu au kutokujibu ni watu wenye mamlaka serikalini na viongozi ndani ya ccm. Sasa huyu maskini anapanua mapafu hata a slight fact hana! Anyway, tumsamehe bure!
 
Polepole ni Mhuni namba moja kwenye CCM - Mafufu
Watu kama hawa na magenge yao wasipodhibitiwa inahalalisha kusema kwasasa chama kimevamiwa na kinaongozwa na wahuni. Yaani chama kimekosa wasemaje kinatumia wasanii ndio tuone wakisema hao basi imetosha....!
Hii ni dharau kubwa....!
No reforms no election
 
Eti bongo movie anamjibu polepole 😄
Hata anachongea haeleweki
Hii nchi iko kisaniii sanii sana

Ova
Ndio shida ya CCM ya kizazi hiki, inapoharibu ina tumia watu wajinga kuisemea. Huku mitaani watu kama wasanii, Doto Magari nk. Kule Bungeni wabunge wajinga wajinga kama Msukuma, Lusinde nk nao ndio watetezi wao!
Hii maana yake nini? Hakuna mwenye akili anaweza kujitoa hadharani kijinga kutetea ujinga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom