HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,691
- 2,303
😀😀😀😀😀 great sinkerNa wewe unajiita great thinker?
Umewazaa weeee ukaja na hiyo conclusion?
Ok sawa
Tafuta chimbo ulambe asali tuu achana na hizi kelele uchwara utateseka sanaa
Mama atawale hadi 2035
Exactly 💯 hujakosea sisi ndiyo great thinker ndiyo maana tunawatawala nyie nyumbu wapumbavu kabsaaHapana mimi siyo great thinker ila wewe na mamako ndiyo ma-great thinker,shit!
Hakuna kitu kama hicho, acha ujinga wakoSiyo wa kwanza kufanya kazi hiyo kuna kina mtikila,silaa,mbowe,sumaye,mrema,zitto,lowasa,kingunge,rungwe,lissu,nk.
Mapinduzi ya kweli kwa watanzania yatatoka kwa VYAMA VYA WAFANYAKAZI na WAKULIMA watakapochoka siyo kwa wanasiasa na viongozi wa dini kwani wao ndiyo wafanyabiashara na wanawanunua masikini na wasio na ajira
Hakuna kitu kama hicho, acha ujinga wako
unaonekana we ni chawa wa kiwango cha chini sana mjuba, umekurupukaNa wewe unajiita great thinker?
Umewazaa weeee ukaja na hiyo conclusion?
Ok sawa
Tafuta chimbo ulambe asali tuu achana na hizi kelele uchwara utateseka sanaa
Mama atawale hadi 2035
Vyama vya wafanyakazi vinavyoongozwa na Chawa wa CCM Nyamhokya?Siyo wa kwanza kufanya kazi hiyo kuna kina Mtikila,Slaa, Mbowe, Sumaye, Mrema, Zitto, Lowasa, Kingunge, Rungwe, Lissu,nk.
Mapinduzi ya kweli kwa watanzania yatatoka kwa VYAMA VYA WAFANYAKAZI na WAKULIMA watakapochoka siyo kwa wanasiasa na viongozi wa dini kwani wao ndiyo wafanyabiashara na wanawanunua masikini na wasio na ajira
unakuja hapa kufanya nin sasa?Na mbowe ilikuaje? Ndio maana niko mbali na siasa napiga business yangu al hamdu liLlah familia yangu inakula, maisha yanaenda. Mafisadi na matapeli wa kisiasa acha waendelee kula moto
Sio chawa tuuunaonekana we ni chawa wa kiwango cha chini sana mjuba, umekurupuka
Mpumbavu huyo anajipotray analamba asali huku mlamba matako.unaonekana we ni chawa wa kiwango cha chini sana mjuba, umekurupuka
Double agent ukimaanisha nini mkuu?Siyo wa kwanza kufanya kazi hiyo kuna kina Mtikila,Slaa, Mbowe, Sumaye, Mrema, Zitto, Lowasa, Kingunge, Rungwe, Lissu,nk.
Mapinduzi ya kweli kwa watanzania yatatoka kwa VYAMA VYA WAFANYAKAZI na WAKULIMA watakapochoka siyo kwa wanasiasa na viongozi wa dini kwani wao ndiyo wafanyabiashara na wanawanunua masikini na wasio na ajira
Wengi watakutukana hapa ni kwasababu unacho kisema si matamanii yao kukisikia, ukweli ni kwamba wakijua historia ya uazishaji wa vyama vingi nchi hii wasinge pata shida.Na mbowe ilikuaje? Ndio maana niko mbali na siasa napiga business yangu al hamdu liLlah familia yangu inakula, maisha yanaenda. Mafisadi na matapeli wa kisiasa acha waendelee kula moto