Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 4,776
- 7,452
Ipo paragraph ya mwishoHoja yako ni ipi?
Haina maana yoyoteIpo paragraph ya mwisho
Dennis unaanza kupuyanga sasaLeo hii mimi au wewe tukaamua kumtukana Rais aliyeko madarakani, Mzee kikwete, na viongozi wengine ndani ya mda mfupi sana kila mtu atanijua au atakujua sababu ndo mambo baadhi ya watu wanapenda kusikia masikioni mwao na hizo ndo siasa mwendokasi
Baada ya uchaguzi wa 2005, doctor slaa na zito kabwe akiwa kijana mdogo kabisa kuaminiwa na watu wa kigoma,.
Hawa watu wawili wanakitu ambacho kinafanana ni waumini wa siasa za mwendokasi unatafuta tuhuma unaileta kwenye public basi watu kwa hisia wanaumia na matokeo yake wanakussuport, na wananchi wakawa wanaamini labda kwa huo ukweli kutatokea mabadiliko.
Hii ndo njia iliyompa doctor slaa na zito kabwe umaarufu mkubwa sana kutokana na waliyokua wanayoongea ila swali likaja mbona hakuna kinachotokea yaani watuhumiwa hawachukuliwi hatua, na ni kama mafisadi wanabadilisha mbinu in-short hakuna kinachobadilika
Baadae tukagundua hata uwataje hadharani watapunguza tu speed ila hawataacha sababu mfumo ndo unawabeba nikimaanisha katiba, baada ya mda wananchi wakawa wanaona haina haja tena kuendelea kuwazingatia wakina doctor slaa na zito sababu hao wanaowatuhumu ni mafisadi wengine ndo kwanza vyeo wanapewa na kupanda.
Polepole kwa kujua au pasipo kujua anatumia mbinu ile-ile ya doctor slaa na zitto kabwe ya siasa za mwendokasi dhidi ya chama chake cha ccm
Ukweli ni kwamba ccm kamwe haiwezi tishiwa na kelele ni kama chura hawezi mzuia tembo kunywa maji
Simkatishi tamaa ila kama lengo lake ni kuishafisha ccm basi hio vita ni ngumu sana na inabidi aje na mbinu nyingine sio hii anayoitumia kwa sababu hii hii chadema walishaitumia miaka mingi sana kupitia doctors slaa, zitto na baadae Tundu lisu ila hawakafunikiwa, na mpaka leo ccm bado wanatawala hata-kama watu hawapendi namna wanavyotawala, point yangu huwezi tumia mbinu zilezile wenzako walizofeli na ukategemea matokeo tofauti
Ndo maana ccm anaendelea kutawala mpaka sahiviHaina maana yoyote
Hapana jaribu kusoma tena kwa makiniDennis unaanza kupuyanga sasa
Amesema bado Epsode 04 na kuendelea.Leo hii mimi au wewe tukaamua kumtukana Rais aliyeko madarakani, Mzee kikwete, na viongozi wengine ndani ya mda mfupi sana kila mtu atanijua au atakujua sababu ndo mambo baadhi ya watu wanapenda kusikia masikioni mwao na hizo ndo siasa mwendokasi
Baada ya uchaguzi wa 2005, doctor slaa na zito kabwe akiwa kijana mdogo kabisa kuaminiwa na watu wa kigoma,.
Hawa watu wawili wanakitu ambacho kinafanana ni waumini wa siasa za mwendokasi unatafuta tuhuma unaileta kwenye public basi watu kwa hisia wanaumia na matokeo yake wanakussuport, na wananchi wakawa wanaamini labda kwa huo ukweli kutatokea mabadiliko.
Hii ndo njia iliyompa doctor slaa na zito kabwe umaarufu mkubwa sana kutokana na waliyokua wanayoongea ila swali likaja mbona hakuna kinachotokea yaani watuhumiwa hawachukuliwi hatua, na ni kama mafisadi wanabadilisha mbinu in-short hakuna kinachobadilika
Baadae tukagundua hata uwataje hadharani watapunguza tu speed ila hawataacha sababu mfumo ndo unawabeba nikimaanisha katiba, baada ya mda wananchi wakawa wanaona haina haja tena kuendelea kuwazingatia wakina doctor slaa na zito sababu hao wanaowatuhumu ni mafisadi wengine ndo kwanza vyeo wanapewa na kupanda.
Polepole kwa kujua au pasipo kujua anatumia mbinu ile-ile ya doctor slaa na zitto kabwe ya siasa za mwendokasi dhidi ya chama chake cha ccm
Ukweli ni kwamba ccm kamwe haiwezi tishiwa na kelele ni kama chura hawezi mzuia tembo kunywa maji
Simkatishi tamaa ila kama lengo lake ni kuishafisha ccm basi hio vita ni ngumu sana na inabidi aje na mbinu nyingine sio hii anayoitumia kwa sababu hii hii chadema walishaitumia miaka mingi sana kupitia doctors slaa, zitto na baadae Tundu lisu ila hawakafunikiwa, na mpaka leo ccm bado wanatawala hata-kama watu hawapendi namna wanavyotawala, point yangu huwezi tumia mbinu zilezile wenzako walizofeli na ukategemea matokeo tofauti
Mimi sijasema mapinduzi ya kijeshi na siamini kwenye hiyo dhana"kama watu hawapendi namna wanavyotawala, point yangu huwezi tumia mbinu zilezile wenzako walizofeli na ukategemea matokeo tofauti."[ Quote ]
Unamaanisha njia pekee ya kuondoa utawala uliopo madarakani ni mapinduzi ya kijeshi au umma wa watanzania kuingia barabarani?
Je, njia ya kuingia barabarani na kuukataa utawala uliopo madarakani?Mimi sijasema mapinduzi ya kijeshi
Maumivu bado hayajawafikia wananchi wa kawaida ndo maana despite mambo yote yanaongelewa bado wanaona maisha yao yanaenda vizuri tuJe, njia ya kuingia barabarani na kuukataa utawala uliopo madarakani?
Polepole hajui au anafanya Wabongo ni mazuzu kwamba Mkuu wa Chama ndio huyo huyo ni Mkuu wa Nchi ambaye amekasimiwa madaraka makubwa kweli kweli na Katiba ya Nchi. π π€·πΎββοΈ !Leo hii mimi au wewe tukaamua kumtukana Rais aliyeko madarakani, Mzee kikwete, na viongozi wengine ndani ya mda mfupi sana kila mtu atanijua au atakujua sababu ndo mambo baadhi ya watu wanapenda kusikia masikioni mwao na hizo ndo siasa mwendokasi
Baada ya uchaguzi wa 2005, doctor slaa na zito kabwe akiwa kijana mdogo kabisa kuaminiwa na watu wa kigoma,.
Hawa watu wawili wanakitu ambacho kinafanana ni waumini wa siasa za mwendokasi unatafuta tuhuma unaileta kwenye public basi watu kwa hisia wanaumia na matokeo yake wanakussuport, na wananchi wakawa wanaamini labda kwa huo ukweli kutatokea mabadiliko.
Hii ndo njia iliyompa doctor slaa na zito kabwe umaarufu mkubwa sana kutokana na waliyokua wanayoongea ila swali likaja mbona hakuna kinachotokea yaani watuhumiwa hawachukuliwi hatua, na ni kama mafisadi wanabadilisha mbinu in-short hakuna kinachobadilika
Baadae tukagundua hata uwataje hadharani watapunguza tu speed ila hawataacha sababu mfumo ndo unawabeba nikimaanisha katiba, baada ya mda wananchi wakawa wanaona haina haja tena kuendelea kuwazingatia wakina doctor slaa na zito sababu hao wanaowatuhumu ni mafisadi wengine ndo kwanza vyeo wanapewa na kupanda.
Polepole kwa kujua au pasipo kujua anatumia mbinu ile-ile ya doctor slaa na zitto kabwe ya siasa za mwendokasi dhidi ya chama chake cha ccm
Ukweli ni kwamba ccm kamwe haiwezi tishiwa na kelele ni kama chura hawezi mzuia tembo kunywa maji
Simkatishi tamaa ila kama lengo lake ni kuishafisha ccm basi hio vita ni ngumu sana na inabidi aje na mbinu nyingine sio hii anayoitumia kwa sababu hii hii chadema walishaitumia miaka mingi sana kupitia doctors slaa, zitto na baadae Tundu lisu ila hawakafunikiwa, na mpaka leo ccm bado wanatawala hata-kama watu hawapendi namna wanavyotawala, point yangu huwezi tumia mbinu zilezile wenzako walizofeli na ukategemea matokeo tofauti
Mtaji mkubwa sana wa Watanzania ni wasahaulifu hiko anachofanya polepole chadema wameshakifanya sana sana ila katika watu wote waliotuhumiwa na chadema hakuna hata mmoja yuko gerezani au hata kupelekwa mahakamaniPolepole hajui au anafanya Wabongo ni mazuzu kwamba Mkuu wa Chama ndio huyo huyo ni Mkuu wa Nchi ambaye amekasimiwa madaraka makubwa kweli kweli na Katiba ya Nchi. π π€·πΎββοΈ !
Kwahiyo Polepole mwache abwabwaje huku amejificha π€£ !
Wenzie na pia uliowataja walikuwa wanabwabwaja kuliko yeye Polepole lakini wapiii. Hamuna kitu !! π³ !
Hii yote Inatokea Mr Polepole anajua ni kwa sababu Mwenyekiti ana madaraka makubwa sana kuanzia Chamani mpaka huko Dolani kwenyewe π³π !
Lakini komredi Polepole anaogopa kukubali hivyo ππππ€£π€£ !
Kalagabaho Komredi P.
Nakubaliana na hii hojaNa Si Ajabu Walioandaa Haya Maigizo Ni Hao Hao Ccm Na Kumpa Ndugu Pole Pole Skripti.....Na Jamaa Anaicheza Vyema....
Jamaa ni zero Brain !Mtaji mkubwa sana wa Watanzania ni wasahaulifu hiko anachofanya polepole chadema wameshakifanya sana sana ila katika watu wote waliotuhumiwa na chadema hakuna hata mmoja yuko gerezani au hata kupelekwa mahakamani