Polepole na siasa za mwendokasi

Polepole na siasa za mwendokasi

Leo hii mimi au wewe tukaamua kumtukana Rais aliyeko madarakani, Mzee kikwete, na viongozi wengine ndani ya mda mfupi sana kila mtu atanijua au atakujua sababu ndo mambo baadhi ya watu wanapenda kusikia masikioni mwao na hizo ndo siasa mwendokasi ila mwisho wa siku utakua ume-achieve nini jibu ni sahii hakuna

Baada ya uchaguzi wa 2005, doctor slaa na zito kabwe akiwa kijana mdogo kabisa kuaminiwa na watu wa kigoma,.
Hawa watu wawili wanakitu ambacho kinafanana ni waumini wa siasa za mwendokasi unatafuta tuhuma unaileta kwenye public basi watu kwa hisia wanaumia na matokeo yake wanakussuport, na wananchi wakawa wanaamini labda kwa huo ukweli kutatokea mabadiliko.

Hii ndo njia iliyompa doctor slaa na zito kabwe umaarufu mkubwa sana kutokana na waliyokua wanayoongea ila swali likaja mbona hakuna kinachotokea yaani watuhumiwa hawachukuliwi hatua, na ni kama mafisadi wanabadilisha mbinu in-short hakuna kinachobadilika

Baadae tukagundua hata uwataje hadharani watapunguza tu speed ila hawataacha sababu mfumo ndo unawabeba nikimaanisha katiba, baada ya mda wananchi wakawa wanaona haina haja tena kuendelea kuwazingatia wakina doctor slaa na zito sababu hao wanaowatuhumu ni mafisadi wengine ndo kwanza vyeo wanapewa na kupanda.

Polepole kwa kujua au pasipo kujua anatumia mbinu ile-ile ya doctor slaa na zitto kabwe ya siasa za mwendokasi dhidi ya chama chake cha ccm

Ukweli ni kwamba ccm kamwe haiwezi tishiwa na kelele ni kama chura hawezi mzuia tembo kunywa maji

Simkatishi tamaa ila kama lengo lake ni kuishafisha ccm basi hio vita ni ngumu sana na inabidi aje na mbinu nyingine sio hii anayoitumia kwa sababu hii hii chadema walishaitumia miaka mingi sana kupitia doctors slaa, zitto na baadae Tundu lisu ila hawakafunikiwa, na mpaka leo ccm bado wanatawala hata-kama watu hawapendi namna wanavyotawala, point yangu huwezi tumia mbinu zilezile wenzako walizofeli na ukategemea matokeo tofauti
Bora ya dk. Slaa na Zitto wao walifanya siasa jukwaani wakiwa na platforms zao, sasa huo hajulikani anaishi wapi yuko km nguchiro nani atamzingatia. Polepole ni miongoni mwa watu wa hovyo kabisa kutokea, ushindane na CCM km mtu binafsi tena ukiwa mafichoni? Hana akili kabisa
 
Hapana jaribu kusoma tena kwa makini
Hizo mbinu anazotumia polepole walishazitumia wakina zitto na doctor slaa sema sisi ni wasahaulifu
Yaani nyie nyumbu kweli ni majinga, mnaanzisha uzi wa kipuuzi mnajadili wenyewe km mazuzu basi mnaona mmefanya la.maana. kwanza mnajidanganya humu JF kwamba CCM haipendwi, CCM bado ndio tumaini la watanzania na wanaipenda sana.
 
Yaani nyie nyumbu kweli ni majinga, mnaanzisha uzi wa kipuuzi mnajadili wenyewe km mazuzu basi mnaona mmefanya la.maana. kwanza mnajidanganya humu JF kwamba CCM haipendwi, CCM bado ndio tumaini la watanzania na wanaipenda sana.
Kama kuna ambalo umesahau liseme
 
Back
Top Bottom