Polepole na Nape ni wajasiri, wamegoma kufa na siri moyoni, ndio maana wanasema ukweli

Fanfa

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2009
Posts
2,388
Reaction score
3,710
Polepole leo kawa jasiri kwa kukataa kufa na siri moyoni. Kaamua kupasua jipu hadharani na wala siyo wodini.

Nape alishakataa kufa na siri moyoni siku nyingi. Alianza na kudokeza Goli la mkono hamkumwelewa. Akarudi tena kuwa kuna kura halali na haramu ila haramu ndo zinaleta ushindi, ukiupata ushindi mnaenda kutubu maisha yanaendelea bado hamukumwelewa.

Sasa leo Polepole kakisema kiini (source) cha Goli la mkono na kura haramu zinapozalishiwa.

Lile DUDE la mfumo wa CCM lililounganishwa ma mfumo wa NIDA na wa Tume ambalo Dude hilo huwa wanalitumia Tume na CCM kuchakachulia kura limewekwa wazi. Hapo kuna utatu mtakatifu yaani Tume, CCM na NIDA. Ndo wanaochakachua. Wanaujua ukweli na mbinu inayotumika.

Taifa linatakiwa kuwapongeza Nape na Polepole kwa kukataa kufa na siri inayoliangamiza Taifa. Hawa ni mashujaa wa Taifa, tuwaunge mkono.

Kura ya mwananchi haina thamani tena. Ni kama katatasi la kuchambia.

Watanganyika sasa nawahoji.
Mnataka mpaka ashuke malaika Gabriel ndo muelewe na kuchukua hatua????
 
BAO LA MKONO.
 
Mungu kaingilia kati mpambano umalizike kwa shetani kulambishwa mchanga
 
DC wa kule Manyara na mipango ya porini?
 
Back
Top Bottom