Polepole kazungumza, J.Makamba Je!

Polepole kazungumza, J.Makamba Je!

Yesu alipowaambia wafuasi wake kua ambae anajiona hana dhambi ndie awe wa kwanza kumrushia jiwe yule mwanamke mzinzi (John 8.7) hakuna aliejitokeza. Bwana JM ana usafi wa kutosha kuweza kutaja uchafu wa wengine??
LOooh!
Haya maandiko huwa sipendi sana kuyapa tafsiri, kwa sababu sina ujuzi nayo. Lakini ukisoma vizuri na kwa uangalifu utaona kuwa Makamba ndiye mwenye nafasi nzuri kabisa ya kudai uhalali wa tafsiri ya hicho ulichokiweka hapo.
 
Junior anapima upepo. The guy is loaded has got nothing to loose.
In fact, hakuna wakati mzuri zaidi ya sasa kwa hawa waliojichafua hovyo hovyo kujisafisha.
Hii ni fursa ya kipekee kabisa kwa hawa watu kujirudi, na waTanzania watawaelewa.
 
Hata aongee wasira,kinana,Makamba sr,mahita na yeyote mnae mtaka aongee,.haitakua na maana yeyote kama wananchi hawatachukua hatua..
Kuongea kwao ndiko kutakaotia chachu ya wananchi kuchukua hatua; ndiyo sababu tunataka waongee.
 
Nilianza kumfahamu (au kumjuwa?), kijana Januari Makamba kupitia kwenye jukwaa hili hili la JF, kwa kusoma barua yake aliyoipa kichwa cha habari cha "Coming to America".
Andiko lake lile lilinivutia, kwa vile maelezo yake yalionyesha kuwa kijana mwenye uzalendo wa nchi yetu Tanzania.

Historia inaonyesha kwamba baada ya hapo amepitia kwenye mikanganyiko mingi, kiasikwamba hata ule uzalendo uliokuwa unajitokeza kwenye barua ile haukuweza kuonekana tena.

kinachonifanya nimkumbuke sasa huyu kijana ni tukio hili la hivi karibuni ambalo Polepole (kijana mwingine) ambaye historia yake haipishani sana na ya huyu Makamba kuamua kulipuka na kudai maslahi ya nchi yake kuwa muhimu zaidi ya chama kinachowanufaisha wao binafsi na watu wao wa karibu.

Sasa namsihi Januari Makamba ajitokeze mbele awaeleze waTanzania kinagaubaga; ile kazi ya kuhesabu kura za ushindi wa CCM mwaka 2015 aliyoisimamia yeye na yule mwenzake aliyempachika Tanesco alipoukwaa uwaziri wa Nishati ilihusika na nini hasa?
Ndiyo haya aliyo yaeleza Polepole?

Januari, ulipo simama sasa hivi, ni fursa nzuri kabisa ya kujirudi na kulikumbuka lile andiko lako uliloliweka kwenye ile barua yako ya "Comimg to America".

Please, do the right thing for your country, which is in a worse situation than it has ever been before.
Mwingine aliyekuwepo kwenye huo uchepushaji wa matokeo ukiacha huyo Njugumawe ambaye hujamtaja alikuwa Nape Nnauye wakisimamiwa kwa karibu na Kinana
 
LOooh!
Haya maandiko huwa sipendi sana kuyapa tafsiri, kwa sababu sina ujuzi nayo. Lakini ukisoma vizuri na kwa uangalifu utaona kuwa Makamba ndiye mwenye nafasi nzuri kabisa ya kudai uhalali wa tafsiri ya hicho ulichokiweka hapo.
Nachomaanisha kile chama wasafi ni wachache sana, Kias cha kwamba ukitaka kutaka fulan ataje machafu ya wenzake basi possibility kua nae ana machafu yake ni kubwa pia. Na shida ni kua ukitoka madarakani ukaanza kutaja machafu ya walioko madarakani basi wewe ndio unakua kwenye upande wa kupoteza zaidi.

Sababu walioko madarakani wana dola, wewe huku nje "kajificheni" huna chochote kile. Hata kama usemacho ni kweli bas serikali itakanusha simple tu kua sio kweli kama ilivyotokea, kisha hakutatokea chochote. Ila sasa serikali hiyo hiyo ikiamua kupiga revenge kwa CCM ni ngumu sana kukosa mabaya mtu wao, utadakwa tu.

Kanisa la Gwajima siku zote lilikuwepo, ila siku alipoanja kutaja udhaifu wa serikali na polisi wa kutoshughulikia watekaji kanisa likafungwa. Na waumini walipoamua kuhamia kwengine pakaonekana pako barabarani ingawa miaka yote hawakuuona huo ukaribu na barabara.
 
Unaweza kuwa sahihi kabisa juu ya "uroho wa madaraka", na unufaika anaotegemea kuendelea kuupata kwa kunyamazia maovu yanayotendwa dhidi ya Tanzania.
Mimi namkumbushia tu, ule msukumo uliomfanya aandike ile barua iliyoonekana kuwa ilitoka ndani ya moyo wake kwelikweli kuhusu taifa lake la Tanzania.
Kama mtanzanzania; bado sioni sababu ya kumkatia tamaa juu ya uzalendo wake juu ya nchi hii.

Je, wewe ulitegemea kuwa mtu kama Polepole angezungumza aliyoyasema hadi sasa!
Nakumbuka Lissu aliwahi sema braza anatembelea jina la mzee.
 
Mwingine aliyekuwepo kwenye huo uchepushaji wa matokeo ukiacha huyo Njugumawe ambaye hujamtaja alikuwa Nape Nnauye wakisimamiwa kwa karibu na Kinana
Kwa maana nyingine ni kwamba mashuhuda wa kutosha wapo; ambao wanaweza kujitokeza mbele na kuzungumzia kwa uhakika kabisa alicho kisema Polepole.

Sote tunajuwa au kukumbuka pia kwamba hao hao watatu ni kama walikwisha jutia kazi hiyo chafu waliyoifanya wakati huo, baada ya Magufuli kwenda kivyake ambavyo wao hawakutegemea.

Nimemkumbuka Makamba kwa mlingano wake wa karibu zaidi na Polepole, kuliko hao wengine, Nape na Kinana. Nape kwa upande wake alisha kiri kwa uhusika wao wa kura nyakati za uchaguzi, ingawa hakugusia njia ya kimtandao anaozungumzia Polepole.
Kinana hawezi kusema chochote yule wakati huu, kwa sababu hana lolote la kumfanya afaidike nalo kwa kufanya hivyo.

Ni Makamba na pengine huyo Maharage ndio wangesimama na kusema jambo nchi inge wasikiliza kwa makini.
 
Maharage ni Team Kikwete na mnufaikaji mkubwa wa haya mambo, hawezi kuthubutu
 
Nachomaanisha kile chama wasafi ni wachache sana, Kias cha kwamba ukitaka kutaka fulan ataje machafu ya wenzake basi possibility kua nae ana machafu yake ni kubwa pia. Na shida ni kua ukitoka madarakani ukaanza kutaja machafu ya walioko madarakani basi wewe ndio unakua kwenye upande wa kupoteza zaidi.

Sababu walioko madarakani wana dola, wewe huku nje "kajificheni" huna chochote kile. Hata kama usemacho ni kweli bas serikali itakanusha simple tu kua sio kweli kama ilivyotokea, kisha hakutatokea chochote. Ila sasa serikali hiyo hiyo ikiamua kupiga revenge kwa CCM ni ngumu sana kukosa mabaya mtu wao, utadakwa tu.

Kanisa la Gwajima siku zote lilikuwepo, ila siku alipoanja kutaja udhaifu wa serikali na polisi wa kutoshughulikia watekaji kanisa likafungwa. Na waumini walipoamua kuhamia kwengine pakaonekana pako barabarani ingawa miaka yote hawakuuona huo ukaribu na barabara.
Naona bado wewe unayo matumaini makubwa sana na hiyo unayo iita serikali na dola yake, chini ya Samia na Genge lake..

Mtu anapoamua kuondokana na dhambi huamua kufanya hivyo kwa utashi wake mwenyewe. Huo ndio "uzalendo" tunao uhimiza hawa akina Makamba waukumbuke zaidi nyakati hizi kuliko hizo nyakati nyingine zozote

. Ndiyo sababu namkumbushia ile barua yake (kwa bahati mbaya nimeitafuta, bila ya mafanikio; ili niiweke hapa watu waisome tena).

Sijui kwa nini unasahau kuwa Polepole pia hayo uliyo yataja yanamhusu, lakini kwake unayaona tofauti!
 
Maharage ni Team Kikwete na mnufaikaji mkubwa wa haya mambo, hawezi kuthubutu
Sasa mtu kama Kikwete atakuwa na matumaini yapi tena baada ya hapa; kiasi kwamba watu waendelee kumwogopa?
Huyu kaamua kuvua nguo na kubaki utupu kabisa mbele ya halaiki ya waTanzania, naye abaki na kuendelea kuwa tishio kwa watu?
 
Nilianza kumfahamu (au kumjuwa?), kijana Januari Makamba kupitia kwenye jukwaa hili hili la JF, kwa kusoma barua yake aliyoipa kichwa cha habari cha "Coming to America".
Andiko lake lile lilinivutia, kwa vile maelezo yake yalionyesha kuwa kijana mwenye uzalendo wa nchi yetu Tanzania.

Historia inaonyesha kwamba baada ya hapo amepitia kwenye mikanganyiko mingi, kiasikwamba hata ule uzalendo uliokuwa unajitokeza kwenye barua ile haukuweza kuonekana tena.

kinachonifanya nimkumbuke sasa huyu kijana ni tukio hili la hivi karibuni ambalo Polepole (kijana mwingine) ambaye historia yake haipishani sana na ya huyu Makamba kuamua kulipuka na kudai maslahi ya nchi yake kuwa muhimu zaidi ya chama kinachowanufaisha wao binafsi na watu wao wa karibu.

Sasa namsihi Januari Makamba ajitokeze mbele awaeleze waTanzania kinagaubaga; ile kazi ya kuhesabu kura za ushindi wa CCM mwaka 2015 aliyoisimamia yeye na yule mwenzake aliyempachika Tanesco alipoukwaa uwaziri wa Nishati ilihusika na nini hasa?
Ndiyo haya aliyo yaeleza Polepole?

Januari, ulipo simama sasa hivi, ni fursa nzuri kabisa ya kujirudi na kulikumbuka lile andiko lako uliloliweka kwenye ile barua yako ya "Comimg to America".

Please, do the right thing for your country, which is in a worse situation than it has ever been before.
😆 umesababisha nitafute story ya makamba "coming to america" ni nzuri na ameonesha uwezo mkubwa wa kuandika story na lugha ya wazungu yuko vizuri sana nime enjoy maana unaisoma kama vile unamsikiliza anaongea😆
 
Naona bado wewe unayo matumaini makubwa sana na hiyo unayo iita serikali na dola yake, chini ya Samia na Genge lake..

Mtu anapoamua kuondokana na dhambi huamua kufanya hivyo kwa utashi wake mwenyewe. Huo ndio "uzalendo" tunao uhimiza hawa akina Makamba waukumbuke zaidi nyakati hizi kuliko hizo nyakati nyingine zozote

. Ndiyo sababu namkumbushia ile barua yake (kwa bahati mbaya nimeitafuta, bila ya mafanikio; ili niiweke hapa watu waisome tena).

Sijui kwa nini unasahau kuwa Polepole pia hayo uliyo yataja yanamhusu, lakini kwake unayaona tofauti!
Hivi unanisoma na kunielewa lakini?? Isije ikawa naandika mambo ambayo huwezi kuyaelewa nikawa naandika bure. Kama huyaelewi nayoyaandika sema tu,

1755971339006.png
 
😆 umesababisha nitafute story ya makamba "coming to america" ni nzuri na ameonesha uwezo mkubwa wa kuandika story na lugha ya wazungu yuko vizuri sana nime enjoy maana unaisoma kama vile unamsikiliza anaongea😆
Ninakuomba uipandishe hapa mkuu, huko uliko iona wewe.
 
Hivi unanisoma na kunielewa lakini?? Isije ikawa naandika mambo ambayo huwezi kuyaelewa nikawa naandika bure. Kama huyaelewi nayoyaandika sema tu,

View attachment 3450430
Sasa unanitafutia ubaya mkuu wangu 'shark' kwa kuhoji uwezo wangu wa kuelewa unacho andika wewe!
Ni kitu gani hasa kinacho kufanya ufikiri kuwa sijui "uchafu uliopo ndani ya chama cha mapinduzi" wakati kila siku tunaimba nyimbo hizo hizo humu JF?

Sasa nami nikuulize; hivi kweli unasoma na kuelewa ninacho lenga kukieleza mimi?
Kuna mahali popote nimeeleza usafi wa Makamba dhidi ya wenzake walioko CCM? HPolepole ni msafi?
 
Nimeandika kule juu kua kile chama (ambacho ndio kinachounda serikali) wasafi ni wachache sana, wewe unasema inaonyesha nina matumaini makubwa sana na serikali iliyoko madarakani (inayotokana na hicho chama).
 
Alaaa!
Hilo ndilo linalo kuchanganya?

Maana yangu ni kuwa hiyo "serikali yenye dola" unayoendelea kuiogopa wewe na kuwatishia wengine, kama aikna Makamba, uhai wake upo ukingoni.
Kama utaendelea kututishia kivuli hicho cha hiyo serikali ili daima watu wanyamaze; basi nchi hii haitakuwa na matumaini yoyote yale milele; kitu ambacho mimi sikiamini.

Kwani Polepole aliyezungumza alisahau uwepo wa hiyo "serikali yenye dola"?

Kwa nini unataka Makamba ashikiliwe na minyororo hiyo maisha yake yote? Mimi namhimiza aondokane na hiyo minyororo, kwa kumkumbushia matamanio aliyowahi kuwa nayo akilini mwake na kuyawasilisha kwa njia ya barua watu wamsome.

Tutaogopa hii "serikali ya dola" hadi lini mkuu 'shark'!
 
Ili wammalizie 😂😂😂 hamphley anaongelea sijui wapi makamba hapo bumbuli patageuzwa Kosovo🫣🫣🫣 akatafute mahali apumzike Bado ana nguvu za kufanya kazi ana elimu ya kumtosha kama.vipi aachane na ccm aendelee na mambo mengine KULIKO kudhalilija Kila uchao
Eti kosovo
 
Ni story inamuhusu yeye toka kuzaliwa mpaka alipofika ilikua 2010
Mimi niliandika kwenye google ikaja
januarymakamba.com
Who Am I? - January Makamba.com

Back
Top Bottom