Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,575
- 25,432
Juliana shonza jeee
Mkuu,Ndo kwanza mwanzo.Kwanza uwaziri utamnyima sauti kutetea kuondoa ukomo wa madaraka.Hili likiisha atakuwa tu waziri.
Angekuwa kampinga angeshalishwa sumu. Ni kujikwezakweza kwake, anataka kumpiku Jiwe, kila siku front page kwenye media/press.La
Labda kjna kitu kakipinga huko ndani au kakataa kumwita rais Mheshimiwa yeye kamwita ndugu.....
Juliana shonza jeee
Hafai popote, hata kubaki bila uteuzi.Juliana shonza jeee
koneksheniKwa mawazo yangu nilidhan Polepole amepewa Ubunge ili akawe waziri
But mzee kaniprove wrong
Sasa je polepole kakosa nn mpk kutolewa kijanja kwa gia ya ubunge?
Je nan atachukua nafasi yake? Makonda/Manara/ Jerry muro??
Mie nilisema huyu ameenda kupaki kama Bulembo.Kwa mawazo yangu nilidhan Polepole amepewa Ubunge ili akawe waziri
But mzee kaniprove wrong
Sasa je polepole kakosa nn mpk kutolewa kijanja kwa gia ya ubunge?
Je nan atachukua nafasi yake? Makonda/Manara/ Jerry muro??
Hata bulembo baada ya kampeni mwaka 2015,alipelekwa bungeniKwa mawazo yangu nilidhan Polepole amepewa Ubunge ili akawe waziri
But mzee kaniprove wrong
Sasa je polepole kakosa nn mpk kutolewa kijanja kwa gia ya ubunge?
Je nan atachukua nafasi yake? Makonda/Manara/ Jerry muro??
Hohoho.... matumizi yake yamekwisha tayar
Wewe bwana wewe kumbe allahYule aendelee kumlea Kiben10 chake yule Chidy designer[emoji23]
Yule anaenda kuwa chawa wa Mwenyekiti bungeni, taarifa zote za kimbeya mbeya huyu ndio atakuwa anampelekea mwenyekiti.Kwa mawazo yangu nilidhan Polepole amepewa Ubunge ili akawe waziri but mzee kaniprove wrong.
Sasa je Polepole kakosa nini mpaka kutolewa kijanja kwa gia ya ubunge?
Je nani atachukua nafasi yake? Makonda/Manara/ Jerry Muro??
huna taarifa??Kwa mawazo yangu nilidhan Polepole amepewa Ubunge ili akawe waziri but mzee kaniprove wrong.
Sasa je Polepole kakosa nini mpaka kutolewa kijanja kwa gia ya ubunge?
Je nani atachukua nafasi yake? Makonda/Manara/ Jerry Muro??
Lazima ateuliwe mwinginekwani Mwenezi kashateuliwa ??? huyo ananguvu kubwa sana
Kwa mawazo yangu nilidhan Polepole amepewa Ubunge ili akawe waziri but mzee kaniprove wrong.
Sasa je Polepole kakosa nini mpaka kutolewa kijanja kwa gia ya ubunge?
Je nani atachukua nafasi yake? Makonda/Manara/ Jerry Muro??