Polepole: Chinua Achebe anaushauri wako ndani ya Things Fall Apart

Dr Adam Francis

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2011
Posts
464
Reaction score
687
Kuhusu wito wako kwa watanzania kujiunga na mapambano yako dhidi ya Samia pamoja na unaloliita kundi la mtandao, Achebe anasimulia:

“Its too late, said Obierika sadly. The white man has put a knife on the things that held us together, and we have fallen apart the centre cannot hold. Our own men and our sons have joined the ranks of the stranger. They have joined his religion and they help to uphold his government. If we should try to drive out the white men in Umuofia we should find it easy. There are only two of them. But what of our own people who are following their way and have been given power? They would go to Umuru and bring the soldiers, and we would be like Abame.”

Tafakari, wakati huu, hawa walioteuliwa kugombea ubunge na udiwani; wao na wapambe wao, sasa hivi tayari wanauona uheshimiwa ule pale unanukia, nani miongoni mwao ataahirisha safari yake hiyo ya kuelekea nchi ya ahadi aje ajiunge na maisha yako ya kutwa kuwindwa kama digidigi?

Obierika alimshauri maneno haya Okonkwo, mtu shujaa Umofia, aliyeka kupamba uvamizi wa wazungu; “And let me tell you one thing, my friend. If I were you I would have stayed home. What you have done will not please the Earth. It is the kind of action for which the goddess wipes out whole families.”

Sote ni mashahidi wa nini ulikuwa mwisho wa Okonkwo, shujaa wa Umofia, alipojiua mwenyewe baada ya harakati zake kushindwa. Obierika alihitimisha kwa kusema; “That man was one of the greatest men in Umuofia. You drove him to kill himself, and now he will be buried like a dog”
 
Heri kuuliwa au kujiua kuliko kuwa pamoja na hawa mbwa
 
Hawa wanafiki wasizishughulishe akili zetu
 
ngumi za kifalsafa kwenye mshono kabisa hizi dah! 🐒
 
AHADI ZA WANACHAMA WA CHAMA CHA MAPINDUZI

(1) Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja

(2) Nitaitumikia nchi yangu na watu wake wote

(3) Nitajitolera nafsi yangu kuondosha umaskini, ujinga, magonjwa na dhuluma.

(4) Rushwa ni adui wa haki, sitapokea wala kutoa rushwa.

(5) Cheo ni dhamana, sitatumia cheo changu wala cha mtu mwingine kwa faida yangu.

(6) Nitajielimisha kwa kadri ya uwezo wangu na kuitumia elimu yangu kwa faida ya wote.

(7) Nitashjirikiana na wenzangu wote kujenga nchi yetu.

(8) Nitasema kweli daima, fitina kwangu mwiko.

(9) Nitakuwa mwanachama mwaminifu wa CCM na raia mwema wa Tanzania na Afrika.

Moja ya ahadi za Mwana CCM ni, NITASEMA KWELI DAIMA FITINA KWANGU MWIKO. Sasa mnahangaika nini mwanachama wa CCM anapotimiza moja ya ahadi za chama ambacho yeye ni mwanachama?

Kama Polepole hajasema ukweli, si wekeni hoja mezani zinazoonyesha uwongo wa Polepole???
 
Kuna namna ya Watanzania hawajamuelewa Polepole ...na uyu ndugu siyo kwamba amekurupuka tu kuja front...Kuna naturalforce nyuma yake....
Ili uweze kumwelewa uyu ndugu....jaribu kuwa mzalendo kidogo ..zile principal za kizalendo ebu jaribu kuzihishi...utagunduwa kitu .
 
AHADI ZA WANACHAMA WA CHAMA CHA MAPINDUZI

(1) Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja

(2) Nitaitumikia nchi yangu na watu wake wote

(3) Nitajitolera nafsi yangu kuondosha umaskini, ujinga, magonjwa na dhuluma.

(4) Rushwa ni adui wa haki, sitapokea wala kutoa rushwa.

(5) Cheo ni dhamana, sitatumia cheo changu wala cha mtu mwingine kwa faida yangu.

(6) Nitajielimisha kwa kadri ya uwezo wangu na kuitumia elimu yangu kwa faida ya wote.

(7) Nitashjirikiana na wenzangu wote kujenga nchi yetu.

(8) Nitasema kweli daima, fitina kwangu mwiko.

(9) Nitakuwa mwanachama mwaminifu wa CCM na raia mwema wa Tanzania na Afrika.

Moja ya ahadi za Mwana CCM ni, NITASEMA KWELI DAIMA FITINA KWANGU MWIKO. Sasa mnahangaika nini mwanachama wa CCM anapotimiza moja ya ahadi za chama ambacho yeye ni mwanachama?

Kama Polepole hajasema ukweli, si wekeni hoja mezani zinazoonyesha uwongo wa Polepole???
Umeyaelewa vizuri maudhui ya makala yangu? Huu ni ushauri kwa Polepole dhidi ya hatari iliyoko mbele yake kwa hatua anazozichukua. Mm sijajadili ukweli au kutokuwa kweli kwa anayoyasema, maana zipo mamlaka kwaajili ya kazi hiyo.
 
Kuhusu wito wako kwa watanzania kujiunga na mapambano yako dhidi ya Samia pamoja na unaloliita kundi la mtandao, Achebe anasimulia:

“Its too late, said Obierika sadly. The white man has put a knife on the things that held us together, and we have fallen apart the centre cannot hold. Our own men and our sons have joined the ranks of the stranger. They have joined his religion and they help to uphold his government. If we should try to drive out the white men in Umuofia we should find it easy. There are only two of them. But what of our own people who are following their way and have been given power? They would go to Umuru and bring the soldiers, and we would be like Abame.”

Tafakari, wakati huu, hawa walioteuliwa kugombea ubunge na udiwani; wao na wapambe wao, sasa hivi tayari wanauona uheshimiwa ule pale unanukia, nani miongoni mwao ataahirisha safari yake hiyo ya kuelekea nchi ya ahadi aje ajiunge na maisha yako ya kutwa kuwindwa kama digidigi?

Obierika alimshauri maneno haya Okonkwo, mtu shujaa Umofia, aliyeka kupamba uvamizi wa wazungu; “And let me tell you one thing, my friend. If I were you I would have stayed home. What you have done will not please the Earth. It is the kind of action for which the goddess wipes out whole families.”

Sote ni mashahidi wa nini ulikuwa mwisho wa Okonkwo, shujaa wa Umofia, alipojiua mwenyewe baada ya harakati zake kushindwa. Obierika alihitimisha kwa kusema; “That man was one of the greatest men in Umuofia. You drove him to kill himself, and now he will be buried like a dog”
Kenge na chawa wa ccm, makalio yanawauma, pole pole tangu apige kwenye mshono, sasa mnatapatapa ku m discredit! Lakini wapi! Ni futuhi tupu,
Licha ya kusaidiwa na serikali, polisi, mahakama mpaka Leo, imeshindwa kumfunga au, kumyonga lisu!
mi, vituko vitupu! Mmebaki kufanya uzinduzi, wa, makabrasha badala, ya, vitu tangible, Mara dira, Mara, mpango wa kieelectronic na upuuzi mwingine,
Watu wanazindua, viwanda vya bidhaa za, IT, siraha, vinavyoajiri watu laki tatu! Ccm wanazindua an app ya kuombea ajira! So pathetic
 
Kipimo kimojawapo cha maturity ni kujiheshimu mbele za umma. Haileti picha nzuri kwako kuandika matusi dhidi ya makala ambayo maudhui yake hujayaelewa.
The message is crystal clear, its too late to fight Samia now. Kwa mwana CCM kumpinga mgombea aliyeteuliwa na vikao vya chama, by definition ni Usaliti. As a matter of fact, Samia hayuko peke yake, ana kundi la wagombea wa ubunge, uwakilishi na udiwani lenye maslahi naye, unadhani watakubaliana na Polepole?
Wazo bora hapa ni kuomba reforms zinazoweza kufanyika zifanyike, CHADEMA waruhusiwe kugombea, then tufanye uchaguzi kwa amani.
 
Kuhusu wito wako kwa watanzania kujiunga na mapambano yako dhidi ya Samia pamoja na unaloliita kundi la mtandao, Achebe anasimulia:

“Its too late, said Obierika sadly. The white man has put a knife on the things that held us together, and we have fallen apart the centre cannot hold. Our own men and our sons have joined the ranks of the stranger. They have joined his religion and they help to uphold his government. If we should try to drive out the white men in Umuofia we should find it easy. There are only two of them. But what of our own people who are following their way and have been given power? They would go to Umuru and bring the soldiers, and we would be like Abame.”

Tafakari, wakati huu, hawa walioteuliwa kugombea ubunge na udiwani; wao na wapambe wao, sasa hivi tayari wanauona uheshimiwa ule pale unanukia, nani miongoni mwao ataahirisha safari yake hiyo ya kuelekea nchi ya ahadi aje ajiunge na maisha yako ya kutwa kuwindwa kama digidigi?

Obierika alimshauri maneno haya Okonkwo, mtu shujaa Umofia, aliyeka kupamba uvamizi wa wazungu; “And let me tell you one thing, my friend. If I were you I would have stayed home. What you have done will not please the Earth. It is the kind of action for which the goddess wipes out whole families.”

Sote ni mashahidi wa nini ulikuwa mwisho wa Okonkwo, shujaa wa Umofia, alipojiua mwenyewe baada ya harakati zake kushindwa. Obierika alihitimisha kwa kusema; “That man was one of the greatest men in Umuofia. You drove him to kill himself, and now he will be buried like a dog”
Sikiliza mwimbo wa bob marley
Crisis
 
“If a man comes into my hut and defecates on the floor, what do I do? Do I shut my eyes? No! I take a stick and break his head. That is what a man does” (Achebe, Chapter 24).
 
Kuhusu wito wako kwa watanzania kujiunga na mapambano yako dhidi ya Samia pamoja na unaloliita kundi la mtandao, Achebe anasimulia:

“Its too late, said Obierika sadly. The white man has put a knife on the things that held us together, and we have fallen apart the centre cannot hold. Our own men and our sons have joined the ranks of the stranger. They have joined his religion and they help to uphold his government. If we should try to drive out the white men in Umuofia we should find it easy. There are only two of them. But what of our own people who are following their way and have been given power? They would go to Umuru and bring the soldiers, and we would be like Abame.”

Tafakari, wakati huu, hawa walioteuliwa kugombea ubunge na udiwani; wao na wapambe wao, sasa hivi tayari wanauona uheshimiwa ule pale unanukia, nani miongoni mwao ataahirisha safari yake hiyo ya kuelekea nchi ya ahadi aje ajiunge na maisha yako ya kutwa kuwindwa kama digidigi?

Obierika alimshauri maneno haya Okonkwo, mtu shujaa Umofia, aliyeka kupamba uvamizi wa wazungu; “And let me tell you one thing, my friend. If I were you I would have stayed home. What you have done will not please the Earth. It is the kind of action for which the goddess wipes out whole families.”

Sote ni mashahidi wa nini ulikuwa mwisho wa Okonkwo, shujaa wa Umofia, alipojiua mwenyewe baada ya harakati zake kushindwa. Obierika alihitimisha kwa kusema; “That man was one of the greatest men in Umuofia. You drove him to kill himself, and now he will be buried like a dog”
Nepolion hill

Anatupa ujumbe mkuu......

Ujumbe Mkubwa wa Kitabu cha OUTWITTING THE DEVIL

👉 Watu wanaoshindwa maishani ni wale wanaoruhusu hofu na “drifting” kuendesha maisha yao.
👉 Watu wanaofanikiwa ni wale wenye malengo thabiti, wanaojisimamia, na wanaotumia akili zao kwa uhuru.
 
Uthubutu na tahadhari ni muhimu vikaenda pamoja.
 
Yeye Polepole hana kundi lenye maslahi na harakati zake?
 
Back
Top Bottom