johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,528
Katibu wa uenezi ndugu Polepole kupitia kipindi cha kutekeleza ilani ya CCM kinachorushwa na TBC amesema CCM ni chama cha Mungu wa mbinguni. Polepole ameyasema hayo huko Malinyi mkoani Morogoro.
Source TBC
Johnthebaptist nikiwa hapa nchini Israel kiibada nawashauri wanasiasa wachunge sana ndimi zao kwani Mungu wa Mbinguni hadhiakiwi!
Source TBC
Johnthebaptist nikiwa hapa nchini Israel kiibada nawashauri wanasiasa wachunge sana ndimi zao kwani Mungu wa Mbinguni hadhiakiwi!