Polepole: CCM katiba sio muhimu, tunataka kwanza wananchi wawe na chakula mezani washibe ndio muhimu

Kwangu mimi, pamoja na kashfa nyingi mnazoitupia CCM, ni heri CCM mara 100 kuliko kuliko majitu masaliti. Msaliti/kibaraka ni hatari mara 100 zaidi ya kuliko adui yeyote yule.
Wengi mmeshajipambanua vizuri kabisa nia zenu kwa Taifa letu.
MAGUFULI juu zaidi.
 
Akili finyu utasubiri sana nchi kunyooshwa. Eti fisadi, mwizi na muongo anaweza kunyoosha nchi! Unadhani kwanini mkewe alikataa kumfanyia kampeni huyu? Nyie MAZWAZWA eti mnamuona ni mzalendo! Mzalendo haibii Taifa lake, mzalendo hawateki, kuwatesa na kuwaua wale wanaomkosoa. Mzalendo hawatusi wastaafu kwa kumkosoa tu. Mzalendo KAMWE hawezi kudharau wananchi wenzie, katiba, sheria za nchi na katiba husika. Mzalendo hawezi kuongoza nchi kwa chuki za kutisha visasi na vitisho. Fungua akili yako Mungu hakukupa akili ili uidumaze na kutetea UOZO.

Eti unanipuuza! hivi kunipuuza kwako wewe taahira kunanipunguzia nini kwenye maisha yangu? Fungua akili yako wewe mtaji mkubwa wa chama cha wahuni na mafisadi. Hawataki kuwapa elimu ya kutosha ili msiwe na upeo wa kuona mbali ili muwatetee kwenye sera zao MUFILISI ambazo zinaangamiza Taifa.

upload_2017-6-13_14-5-10-jpeg.619337

Wewe ndezi wacha nikupuuze
 
Mie nina lugha chafu na huyo anaye watusi wastaafu wanawashwa washwa je!? Kwa punguani wewe lugha yake ni safi!!! Mpuuzi kweli wewe!

Kulindana kwa hawa mafisadi ni janga kubwa la Taifa ufisadi alioufanya huyu fisadi na ukwapuzi wa nyumba za Serikali ulitosha kabisa kumpandisha huyu kizimbani na kuishia lupango, lakini hawa mafisadi wanalindana miaka nenda miaka rudi leo hii pamoja na ufisadi wote alioufanya kama Waziri ni Rais yuko Ikulu! Wakati alistahili kuwepo was lupango! Na nani waliompigia debe awe Rais? Mafisadi wengine wawili Kikwete na Mkapa ili awalinde kwenye ufisadi wao mbali mbali!

Halafu ZWAZWA wewe na MAZWAZWA wenzio wa mtaa wa Lumumba leo hii mnakweza eti ni mzalendo na anainyoosha nchi! Kweli huyu fisadi anainyoosha nchi!? Kwa lipi? Kudharau Bunge, kudharau sheria za nchi, kudharau Watanzania, kusema uongo, kujichotea pesa hazina atakavyo, kutotaka ushauri na kukosolewa!?

Yeye anadai uchumi unakuwa na tuna pesa nyingi sana mmoja wa Mawaziri anasema hali ngumu ya maisha imesababishwa na mabadiliko yaliyofanywa na Serikali. Ni mabadiliko gani hayo na Serikali ipi inayothamini na kuheshimu wananchi wake hufanya mabadiliko yanayosababisha ugumu wa maisha kwa wananchi wake hadala ya kuboresha maisha ya wananchi!?

Peleka upunguani wako mtaa wa lumumba humu tutakuchapa za uso tu na utaahira wako na uzushi eti Jamii Forums inaandika habari za uongo wakati huna hata chembe ya ushahidi wa uongo wa forum hii.

Huwezi kunipuuza mimi wewe punguani lazima ufanye kazi yako ya kikaragosi ya kutetea uozo ili uweze kulipwa. Mwenye akili timamu na anayejitambua KAMWE hawezi kumtetea huyu muongo, mwizi na fisadi.

Nyumbu kwanza una lugha chafu alafu unaandika maneno mengi nonsense full of shit.
Nakupuuza.
 
Hivi do you really think am going to read all of this mapovu you just wrote.
Go to hell, tutakutana 2020, brace youself for the largest defeat
 
Tangu lini umekuwa Mungu wewe punguani wa kuamulia watu waende motoni? Ungekuwa unajua kama kuna motoni usingetetea wezi wahuni watetea rushwa, mafisadi na majangili.

Hiyo 2020 mnajua fika bila mtutu wa bunduki na wizi wa kura kupitia kitengo cha dikteta uchwara mtapigwa kipigo cha kufa mtu. Sasa mnaihofia katiba ya rasimu ya Warioba na Tume huru ya uchaguzi.

Hata Chakubanga wenu anaujua ukweli kama uchaguzi utakuwa huru na wa haki.

Tia akili kichwani mpuuzi wewe. Eti unajivunia ushindi FAKE! Mpumbavu kweli wewe! Umenipuuza lakini bado unarudi maana unajua fika buku 7 yako haikawii kuota mbawa.

Hivi do you really think am going to read all of this mapovu you just wrote.
Go to hell, tutakutana 2020, brace youself for the largest defeat
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Huyu jamaa ana unafiki uliopitiliza. Ananitia hasira kiasi kwamba natamani nimtemee mate hapo kwenye tv. Hivi huyu ndiye yule polepole aliyekuwa anashinda kwemye TV ajiitetea na kuifafanua rasimu ya kstiba ya Tume ya Warioba? Yaani hiki kimtu kinatetea vitu ambavyo hakiviamini ili tu mkono uende kinywani! Kwa maelezo yakeni kwamba katibahaina maana yoyote!Pathetic!
 
Abunwasi hata kama tunawasingizia ukawa, ukweli ni kuwa hakukuwa na nia njema kwa upande wa CCM na serikali yake. Ilianza kwenye uteuzi wa wajumbe wa tume na bunge, kwa kuwajaza wahafidhina wasiotaka mabadiliko ya aina yoyote!!! Na ndio maana waliweka mitego kuhakikisha tunakwama!!

Lakini pia Rais wa nchi wakati huo, JK hakuwa na nia njema, na ndio maana alihakikisha anaipondea rasimu, kabla ya kuwaambia wabunge wa CCM kwamba za kuambiwa changanya na za kwako!! . Na wawakilishi kutoka CCM unajuwa utiifu wao kwa Rais ni zaidi ya utiifu wao kwa Mungu.

Kikubwa viongozi wa sasa, wawe na uzalendo bila kujali maslahi/nyadhifa zao. Kwani sisi ni wa kupita tu, na hatutadumu. Katiba/mwarobaini kama ulivyoiita ni mali ya taifa na si Chama wala kikundi cha watu.
Hebu kuwa rational kidogo. Kosa kubwa lililofanyika kwenye ule mchakato ni kuingiza wana siasa wa vyama kwenye baraza lile kwa sababu mwisho wa siku ilikuwa kama yanga na simba, uzalendo ulitupiliwa mbali.
 
Source Azam habari

Huyu bwana yuko mezani na anakula akiwa kinara wa kudai na kuwa kwenye tume keshasahau na anakomaa kabisa bila haya wala aibu:

Huyu mwenezi kasema katiba sio ya muhimu wala msingi kwa sasa zaidi wananchi wale washibe ndo kitu cha msingi

Unajenga nchi wakati watu hawana usalama wa kutosha ??? Hawana uhakika wakuiona kesho ? Miili inaokotwa baharini nk. nk
 
Hahah polepole bwana,ila huwezi kumlaumu anaishi mjini kwa kazi hyo hana namna.ila walau angejitahidi kuziwekea nakshi propaganda zake
 
Kinachofanya Katiba mpya kuwa kitu kisichotakiwa na CCM kwa sasa ni dalili ya udikteta katika uongozi
 
hawa ndio nape alikua anawasema ,wakati wao wakizunguka nchi nzima kukifufua chama watu wa akina aina ya polepole walikua wanakula bata tu.na leo wamethaminiwa hata kuliko makada walikokipiginania, SHAME SHAME
 
Back
Top Bottom