mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 14,205
- 19,140
Katika utafiti wowote ule wa chanjo lazima kunakuwa na makundi mawili ya watj wanaoshiriki utafiti huo. Kundi la kwanza linaitwa CONTROL!! Hili huwa linadungwa maji matupu kwa lugha ya kitabibu yanaitwa placebo!! Kundi la pili linaitwa EXPERIMENTAL!! Hili kundi la experimental ndo hudungwa chanjo yenyewe inayolengwa! Halafu maisha ya watu kwenye makundi haya mawili hufuatiliwa kwa karibu kwa miaka zaidi ya kumi!! Wahamasishaji wa chanjo wao mara nyingj huchanjwa placebo!! Haiwezekani kwenye utafiti wasiwepo waliodungwa placebo!! Ila ni vizuri kwa waliodungwa placebo kuweka wazi hilo!! Ikiwezekana watu wapewe option ya kuchagua kuwa kwenye kundi la CONTROL au EXPERIMENTAL!! aana kitalaam haya makundi lazima yawepo!Hivi kweli Mama Samia kakubali wananchi wake na yeye kuwa sehemu ya majaribio ya chanjo
Yaani Afrika bado tuna ujinga mwingi sana, yaani unasaini kabisa kisha unachanjwa??!!!! Mungu tupe nusra kwakweli!!
Niko upande wa Polepole na Gwajiboy
Ana hasira ya kuvuliwwa vyeo vyote he has nothing to lose. Yani anaonyesha wazi kabisa kwamba haogopi kutoa msimamo wake kinzani na president.
Ooh! Asante sana mkuu, na hapa ndo kitaalam tunapofatilia tunapata D by D nadhani! Unaangalia differences katika haya makundi mawili jinsi muda unapokuwa unasogea mbele!Katika utafiti wowote ule wa chanjo lazima kunakuwa na makundi mawili ya watj wanaoshiriki utafiti huo. Kundi la kwanza linaitwa CONTROL!! Hili huwa linadungwa maji matupu kwa lugha ya kitabibu yanaitwa placebo!! Kundi la pili linaitwa EXPERIMENTAL!! Hili kundi la experimental ndo hudungwa chanjo yenyewe inayolengwa! Halafu maisha ya watu kwenye makundi haya mawili hufuatiliwa kwa karibu kwa miaka zaidi ya kumi!! Wahamasishaji wa chanjo wao mara nyingj huchanjwa placebo!! Haiwezekani kwenye utafiti wasiwepo waliodungwa placebo!! Ila ni vizuri kwa waliodungwa placebo kuweka wazi hilo!! Ikiwezekana watu wapewe option ya kuchagua kuwa kwenye kundi la CONTROL au EXPERIMENTAL!! aana kitalaam haya makundi lazima yawepo!
Abaki bongo asisafiri nje ya nchiKupitia ukurasa wake rasmi wa Facebook, alipokuwa akiongelea kuhusiana na muziki wa Singeli, sentensi yake yamwisho ilikuwa ni kutoa msimamo wake kuhusu chanjo, amesema chanjo ni hiyari nayeye hatachanja.
Huyu ndiye Polepole ninayemfahamu, Mungu akujalie ufike mbali, kile kiti kinakufaa kabisa.
Kupitia ukurasa wake rasmi wa Facebook, alipokuwa akiongelea kuhusiana na muziki wa Singeli, sentensi yake yamwisho ilikuwa ni kutoa msimamo wake kuhusu chanjo, amesema chanjo ni hiyari nayeye hatachanja.
Huyu ndiye Polepole ninayemfahamu, Mungu akujalie ufike mbali, kile kiti kinakufaa kabisa.
Daah na wewe unatoa mapendekezo yasiyowezeka a, ukishaambiwa inakuaje tena placebo?Katika utafiti wowote ule wa chanjo lazima kunakuwa na makundi mawili ya watj wanaoshiriki utafiti huo. Kundi la kwanza linaitwa CONTROL!! Hili huwa linadungwa maji matupu kwa lugha ya kitabibu yanaitwa placebo!! Kundi la pili linaitwa EXPERIMENTAL!! Hili kundi la experimental ndo hudungwa chanjo yenyewe inayolengwa! Halafu maisha ya watu kwenye makundi haya mawili hufuatiliwa kwa karibu kwa miaka zaidi ya kumi!! Wahamasishaji wa chanjo wao mara nyingj huchanjwa placebo!! Haiwezekani kwenye utafiti wasiwepo waliodungwa placebo!! Ila ni vizuri kwa waliodungwa placebo kuweka wazi hilo!! Ikiwezekana watu wapewe option ya kuchagua kuwa kwenye kundi la CONTROL au EXPERIMENTAL!! aana kitalaam haya makundi lazima yawepo!
Na wewe pia nimekushangaa!Nimekushangaa sana ndugu..!! Imesemwa na Rais wetu kwamba kuchanja ni hiari, na yeye kasema hachanji, SASA CHA AJABU NINI HADI USEME NI HASIRA? Au wakati inasemwa kuchanja ni hiari ilimaanisha nini?
Mimi ni Tomaso, siamini mpaka nione!.Kupitia ukurasa wake rasmi wa Facebook, alipokuwa akiongelea kuhusiana na muziki wa Singeli, sentensi yake yamwisho ilikuwa ni kutoa msimamo wake kuhusu chanjo, amesema chanjo ni hiyari nayeye hatachanja.
Huyu ndiye Polepole ninayemfahamu, Mungu akujalie ufike mbali, kile kiti kinakufaa kabisa.
Hii hapa mkuu,Mimi ni Tomaso, siamini mpaka nione!.
Kwa vile humu ni jf, ukileta hoja kutoka pengine popote, ilete na ushahidi. Leta screen shot ya hiyo Facebook ya Polepole
Ila Polepole kama Polepole, hata mimi namkubali sana, aliyevaa viatu vyake sasa vimempwaya kabisa.
Hoja yako ni dhaifu, aliyeanza kututangazia kuwa anachanja si Samia? Sasa nasisi tukisema hadharani hatuchanji kuna ubaya gani? Au unataka tuwe wanafiki?Na wewe pia nimekushangaa!
Kwamba hujaelewa nia au lengo haswa la huyo pole pole?!! Hv ni sawa km huchanji kuwatangazia watu kuwa hufanyi hivyo? We ni kiongozi/ulikuwa kiongozi, unategemea nini unapoongea maneno km hayo hadharani wakati unajua fika hili taifa lina wapumbavu kibao walioozeshwa akili kipindi fulani na mtu fulani hadi akaitwa Mungu?
Si heshima kutia neno lenye hali ya ukinzani kwa kiongozi wako pasipo ulazima. Naamini wapo wengine wasiochanja lkn wanaelewa athari ya maneno yao na wametulia tu. Yeye kinamsumbua nini km sio chuki?! Aliwahi kuongea chochote chenye hali ya ukinzani kipindi cha mwendazake au yote yalikuwa mazuri tu?! Kumshindishwa mama kwenye hili ndiyo lengo lake kuu........nafurahi ameshashindwa tayari. Nimeona kule kilimanjaro kupitia BBC watu walivyopokea vzr maana ni sehemu walioathirika sana.
Ningelikuwa raisi, ningelitafuta kipengele kinachoniruhusu kumvua ubunge mbunge aliyeteuliwa na raisi na kukitumia dhidi ya huyu mnafiki anayeonekana kukosa lishe utotoni mara moja!!
Huyu ndiye Polepole ninayemfahamu, Mungu akujalie ufike mbali, kile kiti kinakufaa kabisa.
Its true, nimeona, this is wrong !. Alichofanya sio !.Hii hapa mkuu, View attachment 1882232
Polepole Hana akili huyo, Ana akili ya kuku. I can’t wait 2025 to see him unemployed. The guy is a good example of a moron. Good on Samia to get rid of him.Kupitia ukurasa wake rasmi wa Facebook, alipokuwa akiongelea kuhusiana na muziki wa Singeli, sentensi yake yamwisho ilikuwa ni kutoa msimamo wake kuhusu chanjo, amesema chanjo ni hiyari nayeye hatachanja.
Huyu ndiye Polepole ninayemfahamu, Mungu akujalie ufike mbali, kile kiti kinakufaa kabisa.
Amekosea wapi? Hakuna tofauti kati ya alichokifanya na kile kilichofanywa na Samia. Maana Samia katumia hiari yake kuchanjwa hadharani, Polepole katumia hiari yake kukataa hadharani. Au ulitaka awe mnafiki? Unafiki haukubaliki mbele za Mungu. Ameendelea kupambana na mabeberu na vibaraka wake hadharani.Its true, nimeona, this is wrong !. Alichofanya sio !.
Kama Taifa limekubali chanjo ndio maslahi ya Taifa, Viongozi wote wanakuwa Bind na A Collective Responsibility Clause. Must support, Shut up or quit!
Wanabodi, Nimemsikia Mbunge wangu Mhe. Askofu Gwajima akipinga chanjo ya Covid na sio tu kuhamasisha watu waikatae bali hadi kutishia kwa kuwahukumu kifo, wote watakao wachanja watu! Askofu wetu anahitaji kuelimishwa, kwanza yeye, kama Mbunge, ni mtumishi wa umma wa Watanzania wote, kisha ndio...www.jamiiforums.com
Baada ya Kukubali Chanjo, na Rais Samia Kuchanja, Kiongozi yeyote anayepinga Chanjo hadharani ni 'Insubordination' na usaliti
Wanabodi, Hii ni mada mwendelezo wa mada hii ya wiki iliyopita Kwa vile zoezi la chanjo ya Uviko linaendelea, Kwa Maslahi ya Taifa inaendelea kujikita kwenye chanjo, leo nikiangazia hoja ya uhiari wa Chanjo. Japo chanjo ni hiari, hiari ya chanjo ni hiari ya consent kama ilivyo kwenye...www.jamiiforums.com
P
Huyu mzee wa V eite alimuabudu mwendazake bado yupo kwenye kipindi cha denial. Corona ipo na inaua watu wa rika mbalimbali. Ni bahati mbaya tu kuwa maambukizi na vifo vya corona havitangazwi.Kupitia ukurasa wake rasmi wa Facebook, alipokuwa akiongelea kuhusiana na muziki wa Singeli, sentensi yake yamwisho ilikuwa ni kutoa msimamo wake kuhusu chanjo, amesema chanjo ni hiyari nayeye hatachanja.
Huyu ndiye Polepole ninayemfahamu, Mungu akujalie ufike mbali, kile kiti kinakufaa kabisa.
Mkuu wa wilaya ya Temeke Jokate Mwengelo kachanja na hana miaka 50 yuko chini sana tu ina maana ana changamoto mbalimbali?We Màtaga Acha ujinga,wanatakiwa juchanjwa ni wale wenye miaka 50+ au wenye changamoto mbalimbali.
He huyo Polepole wako ana miaka 50.
Corona ina deal na mtu mmoja mmoja. Usihadaiwe na hawa wanaopiga kelele kwenye mitandao.Kumbe tupo wengi kongole kwetu
Na mimi pia sichanji siwezi geuza mwili wangu kuwa test tube ya kutest dawa ya mzungu.Hivi kweli Mama Samia kakubali wananchi wake na yeye kuwa sehemu ya majaribio ya chanjo ya kipuuzi?
Yaani Afrika bado tuna ujinga mwingi sana, yaani unasaini kabisa kisha unachanjwa??!!!! Mungu tupe nusra kwakweli!!
Niko upande wa Polepole na Gwajiboy