Mimi sina njaa kama huyo Pole Pole.... Tokea 2012 hana kazi hapa mjini ili apate pesa ya kuweka ugali mezani lazima atumike na CCM... Lasivyo hapa ni mjini ataingizwa guest
Kwa mujibu wa sheria ipi nini sasa? Kuwa specific.Kwa mujibu wa sheria ipi?
Vijana wa Lowassa munamzuka lakini kwa bahati mbaya Lowassa atapoteza kama unabisha njoo kwetu huku Mwanza uone kama kuna mabishano ya Lowassa. Lowassa kweshine mungekuwa na hekima mungemshauri huyo Lowassa afanye mandalizi ya sijui niyaite ya kusitaafu au kupumzika kijijini kwake Monduli.
Tume ya kukusanya maoni ya wananchi ilikuwa na wajumbe wengi tu. Pole pole hakuwa hata katibu wa tume. Tumechoka kusikia habari za huyu Polepole lets hear from real intellectuals!!!!!!! Huyo analipa fadhila za mamilioni aliyojikusanyia kwenye tume for personal interest not for nation at large.
Kipimo cha rais bora ni kipi?
Jamani, si Lowassa nae apige pushups sasa? Kakatazwa? Au semeni basi yeye ana lipi la ajabu tulizungumzie?
Magufuli ndio mwenye tabia ya kuiga kama alivyoiga jambo la ubunifu la M4C. Ila sidhani kama El atakuwa na muda wa kuiga mambo ya kipuuzi kama pushup. Ni nadra sana chama cha vijana kuiga mambo ya chama kizee.
Habari za hivi punde ni kwamba mgombea wa Urais kupitia ukawa Edward Lowassa atapiga Push Up mkutanoni tarehe 26/09/2015
Amini alimtaka mwalimu Nyerere ulingoni wapige masumbwi .Nyerere alimdharau ni hatima yake alimng'oa.mazoezi sio push ups peke yake!