Njaa ya tumbo ni mbaya sana kuliko ya akili
Kuna video inayosambaa kwa kasi ikimuonesha Humphrey Polepole akipiga Push Ups huku akiwa na vazi la suti.
Hii ni kumuunga mkono JP MAGUFULI.
Kiafya zoezi la pushup lina faida za kiafya.
Nashauri kabla ya kampeni wana ccm lazima wapige Push ups 5 rounds na inapowezekana na wananchi wafanye hivyo.Taifa linaandaliwa kufanya kazi tu.
#hapakazitu
Ndio inayokusumbua wewe kwa fisadi Lowassa, ni tumbo lako tu.
Kuna video inayosambaa kwa kasi ikimuonesha Humphrey Polepole akipiga Push Ups huku akiwa na vazi la suti.
Hii ni kumuunga mkono JP MAGUFULI.
Kiafya zoezi la pushup lina faida za kiafya.
Nashauri kabla ya kampeni wana ccm lazima wapige Push ups 5 rounds na inapowezekana na wananchi wafanye hivyo.Taifa linaandaliwa kufanya kazi tu.
#hapakazitu
Ndio hasara ya wapuuzi kama Polepole kuwaingiza kwenye tume kama ile ya Warioba ya kutengeneza katiba. Imagine huyu alikuwa anafanya Nazi hizo na MTU kama Salim Ahmed Salim? Hapo so ni matusi na kumkejeli MTU mwenye heshima kama yule kwa kumuhusisha na nuhuni,tapeli na kibaka kama Polepole?Mimi sina njaa kama huyo Pole Pole.... Tokea 2012 hana kazi hapa mjini ili apate pesa ya kuweka ugali mezani lazima atumike na CCM... Lasivyo hapa ni mjini ataingizwa guest
Vijana wa Lowassa munamzuka lakini kwa bahati mbaya Lowassa atapoteza kama unabisha njoo kwetu huku Mwanza uone kama kuna mabishano ya Lowassa. Lowassa kweshine mungekuwa na hekima mungemshauri huyo Lowassa afanye mandalizi ya sijui niyaite ya kusitaafu au kupumzika kijijini kwake Monduli.