and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 27,921
- 39,103
Huyu jamaa amegewe Ile michango ya madon pale mlimani city abuye akae kimya. Watu wana bills za kulipa unaleta ujuaji!
Hamna hamna hakosi 10,000 USD (tax free) per month, nyumba, Ada ya watoto na furnitureHivi mshahara na marupurupu kwa Balozi wa Kitanzania kwa mwezi ni kiasi?
Dooh Mungu anipe nini tena..zaidi ya kushinda copacabana weekend zoteHamna hamna hakosi 10,000 USD (tax free) per month, nyumba, Ada ya watoto na furniture
How are you sure. ??Ametekwa.
Akanunue apartment Dubai ale maisha. Ndugy aliwahi kwenda paid trip/vacation ParisHuyu jamaa amegewe Ile michango ya madon pale mlimani city abuye akae kimya. Watu wana bills za kulipa unaleta ujuaji!
Asante StudioAkanumue apartment Dubai ale maisha. Ndugy aliwahi kwenda paid trip/vacation Paris