We unadhani kabla hajaanza kumkosoa huyu mamayenu kilaza hakujua figisu atakazokuja kufanyiwa, sio passport tu...hata roho yake kwasasa mnaitaka!
Yote hayo aliyajua na bila shaka alijiandaa, ndio maana hadi leo mnatapa tapa kujua wapi hasa alipo ndg slow slow ili mmu eliminate!
Sa100 anapiganiwa na genge la wahuni tuuu kwa ajili ya matumbo yao!