Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 18,712
- 22,296
Polepole what are you, man made or human crafted! Laws aren't made to be broken.Kwa hisani ya Shule huru ya uongozi
View attachment 1953431
Polepole what are you, man made or human crafted! Laws aren't made to be broken.Kwa hisani ya Shule huru ya uongozi
View attachment 1953431
Ukiacha ayo mapungufu yake yote uliyoyataja hapo juu Lakini anachokiongea kweli au sikweli?U Genius wake ni upi? Nakumbuka aliwahi sema bila katiba mpya uwajibikaji hauwezi patikana je alipokua Mbunge aliwahi dai katiba tena??
Aliwahi sema CCM haijawahi shinda uchaguzi kwa uhuru na haki lakini alipokua katibu muenezi alifanya nni kuhakikisha CCM inashinda kupitia chaguzu huru na haki??
Aliwahi sema vyeo kma ma DC havifai zaidi ya kulipana fadhila!! Mbona alipoteuliwa kuwa DC wa ubungo hakukataa teuzi??
Ni hivi Polepole anaongea haya baada ya kuona hana chake serikali hii, ila kama issue ni mikopo mbona alikua anatetea deni la taifa lilipokua linaongezeka kipindi cha JPM kwa hoja kwamba lina jenga nchi kupitia miundombinu??? Leo hii kwa Mama haangalii faida ya mkopo ila anaangalia implications zake kwenye ukoloni mamboleo?? Kwanini hizi double standards??
This man is not a genius ni mnafiki tu, leo akirudishwa serikalini trust me atakua wa kwanza kusifia chanjo na tozo!!
Acha ayo Mambo ndugu yangu tuelimishane kwa hojaAnaeleweka na wapumbavu wenzake na mazuzu kama wewe.
Alikua bado anaandaa Nondo za kufundishia Kila Jambo Lina wakati wake.Hana lolote huyu mnafiki mshamba. Anawalisha matango pori tu washamba wenzake.
Ni watu wajinga na washamba tu ndio wanaweza kufuatilia huo ujinga wake.
Mbona hakufundisha hiyo shule yake wakati wa awamu iliyopita?
Wengi humu hawana hoja ila Ni chuki binafsi zinawasumbua kwa sababu tunahitaji kuona mtu analeta utafiti wake na hoja zilizosimama kupangua anayoyasema polepole.Mpingeni Polepole kwa hoja sio vioja.
Hakunaga ukweli au uongo kwenye hoja yoyote ila inategemeana na maslahi yako yanaegemea wapi.Ukiacha ayo mapungufu yake yote uliyoyataja hapo juu Lakini anachokiongea kweli au sikweli?
Anaeleweka na wapumbavu wenzake na mazuzu kama wewe.
Duh kwahiyo mkuu tayari umeshaniona ni zuzu kwa kutoa tathmini ya muelekeo wa shule ya Polepole
Nafikiri Matola unastahili kuomba radhi kistaarabu kwa kumuonea Zambotti. Ametoa maoni, umemporomoshea matusi, akakujibu bila matusi. Nina uhakika kama mjadala ungekuwa wa ana kwa ana usingemtolea matusi hadharani. Basi hivyohivyo hata nyuma ya key board tuendeleze ustaarabu.Taratibu polepole anaanza kueleweka
Hapana, nimesikiliza na kuna maeneo amezungumza, inaonyesha wazi hafahamu kiundani, kitu anachokizungumzia.Polepole the genius.
Yale yale, Sizitaki mbivu hizi!Hakunaga ukweli au uongo kwenye hoja yoyote ila inategemeana na maslahi yako yanaegemea wapi.
Mfano ukioa mwanamke mrembo utasikia "oooh nimepata mke mzuri". Ila mkigombana utasikia tena "uzuri wa mwanamke sio sura!!".
Mfumo ukishawatupa akili urejea.Nadhani ameshagundua kwamba yupo ukingoni na mashua unakaribia kupigwa dhoruba.
Namshauri achukue tissue aende washroom
Mkufunzi wa shule ya uongozi Eng. Hamfrey Polepole amevishutumu vyombo vya kibeberu IMF na World Bank kwa kusababisha umasikini mkubwa na utegemezi wa milele kwa kutoa mikopo kandamizi kwa nchi masikini Kama Tanzania, na ameionya Serikali iliyopo madarakani kuwa makini na mikopo hiyo.
Wananchi wa Kenya waliandamana kupinga mkopo uliokopwa imf nchini Kwao Ila hata Tanzania juzi imekopeshwa mkopo mkubwa wa Tsh 1.3 trilioni na pole pole anasema huko ni kuingia katika mdomo wa mamba yaani ukoloni mamboleo chini ya mabeberu.
Mkufunzi huyo mzalendo ambaye alidai serikali imepigwa photocopy alienda mbali na kumkemea Amos makala RC wa Dar kuwa aache kunyanyasa masikini wamachinga, Bali atende haki. Huyu hapo chini
Kukopa ni kujitakia na ni kushindwa kwa viongozi wa ccm hawana mawazo mapya nje ya kukopa, wameshindwa kugeuza raslimali zetu kuwa pesa.Huyu babu ni mjinga sn, kwani tunalazimishwa kwenda kukopa?
Ds ya first year mpuuzi huyuAnamkosoa hangaya kimtindo