Polepole anamshangaa Nyalandu kuondoka CCM inayofuata itikadi ya Ujamaa purely na kujiunga chama kisicho na itikadi

Mkuu kwani kuwa CCM ni dhambi? Una uhakika kwamba huko uliko au unakoamini Wewe hakuna matatizo? Nilichojaribu kukisema hapa ni mtizamo wangu kama mmoja wa ' Wadau ' wa CCM ili ' Wahusika ' wakiangalie na kifanyiwe Kazi haraka kwa maslahi mapana na Chama cha CCM na haimaanishi kwamba kwakuwa kuna matatizo fulani basi Mimi GENTAMYCINE niikimbie CCM bali nadhani ' maandiko ' yangu haya ambayo nayatoa humu katika hii platform nzuri ya JamiiForums yanaweza yakasaidia japo kidogo katika ' kurekebisha ' mambo fulani. Alichokifanya Lazaoro Nyalandu ni haki yake Kikatiba na ndiyo maana nawashangaa hata wale wana CCM wenzangu wanaomponda na kumkashifu.
Kuwa ccm ya sasa ni dhambi,
Tizama yatendwayo huko utajua km siyo dhambi,wapinzani badala ya kuwajibu ama kuwakabili kwa hoja mnawakabili km mlivyomkabili marehemu mawazo na mnavyoendelea kumkabili lisuu,
Mnabambika watu tuhuma na kuwakashifu,
Mnatumia mabavu kupambana na wapinzani,mmewapa chama wahuni wachache wanakisemea kana kwamba hamna wazee,
 
Haishangazi kuondoka kwake ingawa alianza kuonyesha hayo kupitia ajali ya Arusha.

Jamani tukae mkao wa popcorn maana awamu hii inamengi mazuri kwa ajili ya nchi yetu.

Watu wanasaga meno hadi basi jamani...

Magufuli oyeeeeeeeeeee

Nape naye aliyasema kwa kideo hiki
Tunamtaka katibu aondoke ili nae mumseme ambayo SAA hii hamyasemi
 
Siku zote Mtu aliye makini Kichwani huwa hakurupuki kufanya ' Counter ' ya jambo lolote lile very ' sensitive ' haraka hivi kama afanyavyo Msemaji wa CCM Humphrey Polepole. Kitendo hiki cha ' kuhama ' kwa Lazaro Nyalandu kinahitaji utulivu na umakini mkubwa katika kulijibia au kulitolea ufafanuzi. Ni mmoja kati ya Wasemaji ' hopeless ' ambao kwa miaka mingi Chama cha CCM haikuwahi kuwa nae.

Kuhama kwa Lazaro Nyalandu ni ' ishara ' tosha kwamba ndani ya CCM huenda kuna ' matatizo ' makubwa tena ya ' hatari ' kuliko ambavyo tunaaminishwa. Na bahati mbaya mno hilo ' tatizo ' halisemwi ila kuna ' Mtu ' mmoja ambaye namuita ' Kirusi ' Kikuu ndani ya Serikali ya CCM na kwa bahati mbaya sana hicho ' Kirusi ' ndicho kinapendwa na kusikilizwa mno na Mwenyekiti Taifa wa CCM hadi kinasikilizwa kuliko hata Makamu wa Rais na Waziri Mkuu.

Kama hiki ' Kirusi ' Kikuu kilichopo Serikalini na ndani ya Chama cha CCM hakitadhibitiwa haraka natabiri ama ' anguko ' kubwa la CCM au ' machafuko ' makubwa yanakuja hasa mwaka 2020 kwani huyo ' Kirusi ' hivi sasa inasemekana amefikia hatua hadi anaingilia taratibu zingine tena za Idara / Taasisi ' Nyeti ' kabisa za nchi hii huku akijivunia ' Kupendwa ' na ' Kukubalika ' na Mwenyekiti Taifa.

Kwa siku za hivi karibuni na kama una macho yaliyojaa ' Saikolojia ' ya ' Body Language ' kila pakiwa na hafla pale IKULU halafu akawepo Makamu wa Rais na Jaji Mkuu achilia mbali Spika Ndugai ambaye ametukuka ' Kiunafiki ' utagundua ya kwamba ndani ya ' mioyo ' ya Samia ( VP ) na Juma ( CJ ) wanaumia sana na kuna ' Kitu ' hakipo sawa ndani ya ' Serikali ' na hata ' Chamani ' pia.

Ukiyasoma kwa umakini na kwa uangalifu mkubwa mno ' maelezo ' aliyoyatoa leo Lazaro Nyalandu utagundua kuna ' bomu ' lipo Serikalini na katika Chama na pengine badala ya Watu hasa wa CCM ' kumponda ' na ' kumkashifu ' mngetulia na kujitafakari kwa kina hasa mkitambua kwamba huyo Nyalandu ameshika ' nyadhifa ' nyingi za Kiserikali na Kichama hivyo ni ' Senior ' kabisa na kuanza ' kumpuuza ' na ' kummbeza ' ni kuonyesha ' udhaifu ' mkubwa wa akili na kufikiri.

Kuna ' hatari ' naiona na naomba niishie hapa tafadhali. Na bahati mbaya sana wengine tukisema, tukishauri na tukionya kwa maslahi mapana tunaonekana Sisi ni Wana CCM ' Vipepeo ' na siyo Wana CCM ' Viwanda ' wakati pengine inawezekana ' mawazo ' au ' mitazamo ' yetu ambayo huwa tunaitoa mara kwa mara humu JamiiForums ingeweza kusaidia na kukiweka Chama mahala pazuri na hata kuisaidia Serikali yetu. Namalizia tena kusema kuwa ' kuna hatari naiona ' na CCM pamoja na Serikali yake isipojitathmini haraka tutakuja ' Kujuta ' sana na mno.
LEO UMENIKOSHA MKUU
 
Ujamaa upi anaouzungumzia?Kweli huyu mwenezi wa chama chetu kiboko! Ujamaa karne hii kweli?Anaongelea mambo ambayo hata Warusi,Ujerumani,China na Korea hawayafuati tena!Anazungumzia Ujamaa ambao umefeli kuenenda na kasi ya dunia.Kati ya viongozi kwangu mimi kuwaelewa ni huyu bwana.Si yule wa Tume ya Katiba kawa mwingine kabisa!
 
Wewe jamaa una IQ kubwa sana hongera sana mkuu nimependa unavopangilia hoja zako hongera mno

Akhsante na Shukrani sana Mkuu. Kikubwa ninampa hizi pongezi zako zote Mwenyezi Mungu kwani naamini kabisa kwamba bila Yeye hii IQ yangu isingekuwa hivi. Ila hata hivyo na Wewe pia ubarikiwe mno Mkuu kwani sidhani kama na Wewe pia usingekuwa na IQ kubwa ungeweza kuigundua hii yangu hivyo na Mimi pia nasema kwamba hata Wewe upo vizuri sana ' Kichwani ' na nakukubali mno tu. Tupo pamoja sana Mkuu.
 
hyu jama anaitwa polepole akili zake zilo polepole kweli. Mjinga fulani ambaye anaweza hata kulikana jina lake.
 
Polepole ana haki ya kuongea kwani kuondoka kwa madiwani wa chadema ilikuwa nongwa mpaka Video shooting ilifanyika, Msigwa, Nassari na Lema wakasahu kama wanauguliwa kila kona wanatembea na frash sasa vipi polepole anyamaze kimya kuondokewa na mbunge
Flash ilikuwa ina nini?
 
Ni mpuuzi wa mwisho atakayeendelea kudhani kuna nyonyo kama kifaranga cha chuku bila uhakika..! Ni ujinga na upumbavu kushikiwa akili ukabaki kushabikia siasa bila kujua mambo yanaharibika.

Sasa wewe kama haupo hivyo basi wewe ni zaidi ya hivyo ulivyoandika.. na maneno mengi huna lolote la maana umeweza kushusha.. pita huko maana wewe ni kituko wa karne
 
Tunamtaka katibu aondoke ili nae mumseme ambayo SAA hii hamyasemi

Lolote mtu akiwa na yake lazima yatakuwemo mitandaoni.. hii ni karne ya teknolojia.. kufukua makaburi inachukua seconds

Aliyeondoka leo hazifichiki sababu kubwa za kujiondoa
 
Lazaro Nyalandu ni mmoja wa majasusi walotukuka na hata alipokuwa pale Ilboru wazee wa Kitengo, walimwona kwamba anafaa kuandaliwa kuja kuwa mwanachama na mwanasiasa mwandamizi katika siasa za Tanzania.

Lakini wazee wa Kitengo waliamua kukuweka pamoja na akina Lowasa, Sumaye na waandamaizi wengine wa CCM basi wewe hauna chako.

Mbinu ya Nyalandu ni kuondoka halafu arudi tena bungeni kupitia Chadema, lakini nakuhakikishieni hatopita na sasa Chadema wanafikria mara mbilimbili juu ya ombi lake.

Sasa kazi wanayo akina Membe, Nape na Makamba Junior kusawazisha.

Lakini Polepole anasahau kwamba yupo mzee Yusuph Makamba ambae anayo makabrasha yote, kwanini asiombe reference?

Ni hayo tu kutoka kwa Richard hapa Kwamtogole, oops umeme umekatika!

Ntarudi.
 
Razaro Nyalandu ni mmoja wa majasusi walotukuka na hata alipokuwa pale Ilboru wazee wa Kitengo, walimwona kwamba anafaa kuandaliwa kuja kuwa mwanachama na mwanasiasa mwandamizi katika siasa za Tanzania.

Lakini wazee wa Kitengo waliamua kukuweka pamoja na akina Lowasa, Sumaye na waandamaizi wengine wa CCM basi wewe hauna chako.

Mbinu ya Nyalandu ni kuondoka halafu arudi tena bungeni kupitia Chadema, lakini nakuhakikishieni hatopita na sasa Chadema wanafikria mara mbilimbili juu ya ombi lake.

Sasa kazi wanayo akina Membe, Nape na Makamba Junior kusawazisha.

Lakini Polepole anasahau kwamba yupo mzee Yusuph Makamba ambae anayo makabrasha yote, kwanini asiombe reference?

Ni hayo tu kutoka kwa Richard hapa Kwamtogole, oops umeme umekatika!

Ntarudi.

Habari Za Siku mkuu Mmoja wa Wakongwe wa JF hivi yuko wapi Moshe Dayan?? Tunammiss Humu.
 
Mkuu kwani kuwa CCM ni dhambi? Una uhakika kwamba huko uliko au unakoamini Wewe hakuna matatizo? Nilichojaribu kukisema hapa ni mtizamo wangu kama mmoja wa ' Wadau ' wa CCM ili ' Wahusika ' wakiangalie na kifanyiwe Kazi haraka kwa maslahi mapana na Chama cha CCM na haimaanishi kwamba kwakuwa kuna matatizo fulani basi Mimi GENTAMYCINE niikimbie CCM bali nadhani ' maandiko ' yangu haya ambayo nayatoa humu katika hii platform nzuri ya JamiiForums yanaweza yakasaidia japo kidogo katika ' kurekebisha ' mambo fulani. Alichokifanya Lazaoro Nyalandu ni haki yake Kikatiba na ndiyo maana nawashangaa hata wale wana CCM wenzangu wanaomponda na kumkashifu.
Mkuu komaa chama na mwenyekiti wake ni watakatifu; pole kama ulikuwa hujui lakini ndiyo hivyo. Endelea kujikomba mgaagaa na upwa hali wali mkavu
 
Karibu ufuatilie mjadala! Polepole anamshangaa Nyalandu kuondoka CCM inayofuata itikadi ya Ujamaa purely na kwenda kujiunga kwenye chama kisicho na itikadi yoyote. Anadai huyu ameshuka viwango na hajawahi kuitisha mikutano na wapiga kura wanamtafuta jimboni yeye hajulikani alipo. Mwenezi anasema kuna wabunge wengi wanachunguzwa ndani ya chama kufuatia ushauri uliotolewa na spika kwa mwenyekiti wa CCM, hivyo wananchi wakae mkao wa kula kwani muda si mrefu kamati za uchunguzi zitamaliza kazi na hatua stahiki zitachukuliwa kwa wabunge wote watakaokutwa na kasoro mbalimbali! Pia amemponda yule mbunge wa Kigoma aliyesahau shughuli zake za kibunge jimboni na kuzamia Dsm alikojipa jukumu la kuishambulia serikali kwa kila liwe jema au vinginevyo!
Polepole kawa na HARAKA!!
 
Hivi huyu pole pole ni mzee au kijana? Kiwango kikubwa cha unafiki kimepoteza utambulisho wake.
th
 
Siku zote Mtu aliye makini Kichwani huwa hakurupuki kufanya ' Counter ' ya jambo lolote lile very ' sensitive ' haraka hivi kama afanyavyo Msemaji wa CCM Humphrey Polepole. Kitendo hiki cha ' kuhama ' kwa Lazaro Nyalandu kinahitaji utulivu na umakini mkubwa katika kulijibia au kulitolea ufafanuzi. Ni mmoja kati ya Wasemaji ' hopeless ' ambao kwa miaka mingi Chama cha CCM haikuwahi kuwa nae.

Kuhama kwa Lazaro Nyalandu ni ' ishara ' tosha kwamba ndani ya CCM huenda kuna ' matatizo ' makubwa tena ya ' hatari ' kuliko ambavyo tunaaminishwa. Na bahati mbaya mno hilo ' tatizo ' halisemwi ila kuna ' Mtu ' mmoja ambaye namuita ' Kirusi ' Kikuu ndani ya Serikali ya CCM na kwa bahati mbaya sana hicho ' Kirusi ' ndicho kinapendwa na kusikilizwa mno na Mwenyekiti Taifa wa CCM hadi kinasikilizwa kuliko hata Makamu wa Rais na Waziri Mkuu.

Kama hiki ' Kirusi ' Kikuu kilichopo Serikalini na ndani ya Chama cha CCM hakitadhibitiwa haraka natabiri ama ' anguko ' kubwa la CCM au ' machafuko ' makubwa yanakuja hasa mwaka 2020 kwani huyo ' Kirusi ' hivi sasa inasemekana amefikia hatua hadi anaingilia taratibu zingine tena za Idara / Taasisi ' Nyeti ' kabisa za nchi hii huku akijivunia ' Kupendwa ' na ' Kukubalika ' na Mwenyekiti Taifa.

Kwa siku za hivi karibuni na kama una macho yaliyojaa ' Saikolojia ' ya ' Body Language ' kila pakiwa na hafla pale IKULU halafu akawepo Makamu wa Rais na Jaji Mkuu achilia mbali Spika Ndugai ambaye ametukuka ' Kiunafiki ' utagundua ya kwamba ndani ya ' mioyo ' ya Samia ( VP ) na Juma ( CJ ) wanaumia sana na kuna ' Kitu ' hakipo sawa ndani ya ' Serikali ' na hata ' Chamani ' pia.

Ukiyasoma kwa umakini na kwa uangalifu mkubwa mno ' maelezo ' aliyoyatoa leo Lazaro Nyalandu utagundua kuna ' bomu ' lipo Serikalini na katika Chama na pengine badala ya Watu hasa wa CCM ' kumponda ' na ' kumkashifu ' mngetulia na kujitafakari kwa kina hasa mkitambua kwamba huyo Nyalandu ameshika ' nyadhifa ' nyingi za Kiserikali na Kichama hivyo ni ' Senior ' kabisa na kuanza ' kumpuuza ' na ' kummbeza ' ni kuonyesha ' udhaifu ' mkubwa wa akili na kufikiri.

Kuna ' hatari ' naiona na naomba niishie hapa tafadhali. Na bahati mbaya sana wengine tukisema, tukishauri na tukionya kwa maslahi mapana tunaonekana Sisi ni Wana CCM ' Vipepeo ' na siyo Wana CCM ' Viwanda ' wakati pengine inawezekana ' mawazo ' au ' mitazamo ' yetu ambayo huwa tunaitoa mara kwa mara humu JamiiForums ingeweza kusaidia na kukiweka Chama mahala pazuri na hata kuisaidia Serikali yetu. Namalizia tena kusema kuwa ' kuna hatari naiona ' na CCM pamoja na Serikali yake isipojitathmini haraka tutakuja ' Kujuta ' sana na mno hapo baadae.
Nakuona mkuu GENTAMYCINE katika ubora wako, hakika andiko lako juu limejaa ukweli mtupu pongezi kwako kwa kusema ukweli daima.

Tanzania Kwanza.
 
Back
Top Bottom