johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,038
- 142,153
Karibu ufuatilie mjadala!
Kwani Spika ushauri huo aliutoa kwa siri?!! Mbona wengi tulimsikia alivyoyasema hayo pale Ikulu akiwemo Silinde na Ole milya!!Hapo kwa Spika siyo kama ameteleza kweli, hata kama Spika alitoa ushauri kwa m/kiti juu ya kuchunguzwa kwa wabunge wao na kuwachukulia hatua, je ni sahihi kuongea siri za ndani kwenye media! Mmmh ama kweli chama kimepata msemaji
mtajua wenyewe na ccm yenu sisi tulishamuachia mungu afanye kazi yakeSiku zote Mtu aliye makini Kichwani huwa hakurupuki kufanya ' Counter ' ya jambo lolote lile very ' sensitive ' haraka hivi kama afanyavyo Msemaji wa CCM Humphrey Polepole. Kitendo hiki cha ' kuhama ' kwa Lazaro Nyalandu kinahitaji utulivu na umakini mkubwa katika kulijibia au kulitolea ufafanuzi. Ni mmoja kati ya Wasemaji ' hopeless ' ambao kwa miaka mingi Chama cha CCM haikuwahi kuwa nae.
Kuhama kwa Lazaro Nyalandu ni ' ishara ' tosha kwamba ndani ya CCM huenda kuna ' matatizo ' makubwa tena ya ' hatari ' kuliko ambavyo tunaaminishwa. Na bahati mbaya mno hilo ' tatizo ' halisemwi ila kuna ' Mtu ' mmoja ambaye namuita ' Kirusi ' Kikuu ndani ya Serikali ya CCM na kwa bahati mbaya sana hicho ' Kirusi ' ndicho kinapendwa na kusikilizwa mno na Mwenyekiti Taifa wa CCM hadi kinasikilizwa kuliko hata Makamu wa Rais na Waziri Mkuu.
Kama hiki ' Kirusi ' Kikuu kilichopo Serikalini na ndani ya Chama cha CCM hakitadhibitiwa haraka natabiri ama ' anguko ' kubwa la CCM au ' machafuko ' makubwa yanakuja hasa mwaka 2020 kwani huyo ' Kirusi ' hivi sasa inasemekana amefikia hatua hadi anaingilia taratibu zingine tena za Idara / Taasisi ' Nyeti ' kabisa za nchi hii huku akijivunia ' Kupendwa ' na ' Kukubalika ' na Mwenyekiti Taifa.
Kwa siku za hivi karibuni na kama una macho yaliyojaa ' Saikolojia ' ya ' Body Language ' kila pakiwa na hafla pale IKULU halafu akawepo Makamu wa Rais na Jaji Mkuu achilia mbali Spika Ndugai ambaye ametukuka ' Kiunafiki ' utagundua ya kwamba ndani ya ' mioyo ' ya Samia ( VP ) na Juma ( CJ ) wanaumia sana na kuna ' Kitu ' hakipo sawa ndani ya ' Serikali ' na hata ' Chamani ' pia.
Ukiyasoma kwa umakini na kwa uangalifu mkubwa mno ' maelezo ' aliyoyatoa leo Lazaro Nyalandu utagundua kuna ' bomu ' lipo Serikalini na katika Chama na pengine badala ya Watu hasa wa CCM ' kumponda ' na ' kumkashifu ' mngetulia na kujitafakari kwa kina hasa mkitambua kwamba huyo Nyalandu ameshika ' nyadhifa ' nyingi za Kiserikali na Kichama hivyo ni ' Senior ' kabisa na kuanza ' kumpuuza ' na ' kummbeza ' ni kuonyesha ' udhaifu ' mkubwa wa akili na kufikiri.
Kuna ' hatari ' naiona na naomba niishie hapa tafadhali. Na bahati mbaya sana wengine tukisema, tukishauri na tukionya kwa maslahi mapana tunaonekana Sisi ni Wana CCM ' Vipepeo ' na siyo Wana CCM ' Viwanda ' wakati pengine inawezekana ' mawazo ' au ' mitazamo ' yetu ambayo huwa tunaitoa mara kwa mara humu JamiiForums ingeweza kusaidia na kukiweka Chama mahala pazuri na hata kuisaidia Serikali yetu. Namalizia tena kusema kuwa ' kuna hatari naiona ' na CCM pamoja na Serikali yake isipojitathmini haraka tutakuja ' Kujuta ' sana na mno.
mtajua wenyewe na ccm yenu sisi tulishamuachia mungu afanye kazi yake
tunayaona sasa
Wewe jamaa una IQ kubwa sana hongera sana mkuu nimependa unavopangilia hoja zako hongera mnoSiku zote Mtu aliye makini Kichwani huwa hakurupuki kufanya ' Counter ' ya jambo lolote lile very ' sensitive ' haraka hivi kama afanyavyo Msemaji wa CCM Humphrey Polepole. Kitendo hiki cha ' kuhama ' kwa Lazaro Nyalandu kinahitaji utulivu na umakini mkubwa katika kulijibia au kulitolea ufafanuzi. Ni mmoja kati ya Wasemaji ' hopeless ' ambao kwa miaka mingi Chama cha CCM haikuwahi kuwa nae.
Kuhama kwa Lazaro Nyalandu ni ' ishara ' tosha kwamba ndani ya CCM huenda kuna ' matatizo ' makubwa tena ya ' hatari ' kuliko ambavyo tunaaminishwa. Na bahati mbaya mno hilo ' tatizo ' halisemwi ila kuna ' Mtu ' mmoja ambaye namuita ' Kirusi ' Kikuu ndani ya Serikali ya CCM na kwa bahati mbaya sana hicho ' Kirusi ' ndicho kinapendwa na kusikilizwa mno na Mwenyekiti Taifa wa CCM hadi kinasikilizwa kuliko hata Makamu wa Rais na Waziri Mkuu.
Kama hiki ' Kirusi ' Kikuu kilichopo Serikalini na ndani ya Chama cha CCM hakitadhibitiwa haraka natabiri ama ' anguko ' kubwa la CCM au ' machafuko ' makubwa yanakuja hasa mwaka 2020 kwani huyo ' Kirusi ' hivi sasa inasemekana amefikia hatua hadi anaingilia taratibu zingine tena za Idara / Taasisi ' Nyeti ' kabisa za nchi hii huku akijivunia ' Kupendwa ' na ' Kukubalika ' na Mwenyekiti Taifa.
Kwa siku za hivi karibuni na kama una macho yaliyojaa ' Saikolojia ' ya ' Body Language ' kila pakiwa na hafla pale IKULU halafu akawepo Makamu wa Rais na Jaji Mkuu achilia mbali Spika Ndugai ambaye ametukuka ' Kiunafiki ' utagundua ya kwamba ndani ya ' mioyo ' ya Samia ( VP ) na Juma ( CJ ) wanaumia sana na kuna ' Kitu ' hakipo sawa ndani ya ' Serikali ' na hata ' Chamani ' pia.
Ukiyasoma kwa umakini na kwa uangalifu mkubwa mno ' maelezo ' aliyoyatoa leo Lazaro Nyalandu utagundua kuna ' bomu ' lipo Serikalini na katika Chama na pengine badala ya Watu hasa wa CCM ' kumponda ' na ' kumkashifu ' mngetulia na kujitafakari kwa kina hasa mkitambua kwamba huyo Nyalandu ameshika ' nyadhifa ' nyingi za Kiserikali na Kichama hivyo ni ' Senior ' kabisa na kuanza ' kumpuuza ' na ' kummbeza ' ni kuonyesha ' udhaifu ' mkubwa wa akili na kufikiri.
Kuna ' hatari ' naiona na naomba niishie hapa tafadhali. Na bahati mbaya sana wengine tukisema, tukishauri na tukionya kwa maslahi mapana tunaonekana Sisi ni Wana CCM ' Vipepeo ' na siyo Wana CCM ' Viwanda ' wakati pengine inawezekana ' mawazo ' au ' mitazamo ' yetu ambayo huwa tunaitoa mara kwa mara humu JamiiForums ingeweza kusaidia na kukiweka Chama mahala pazuri na hata kuisaidia Serikali yetu. Namalizia tena kusema kuwa ' kuna hatari naiona ' na CCM pamoja na Serikali yake isipojitathmini haraka tutakuja ' Kujuta ' sana na mno.
Kamchonganisha subwoofer na mkitiHapo kwa Spika siyo kama ameteleza kweli, hata kama Spika alitoa ushauri kwa m/kiti juu ya kuchunguzwa kwa wabunge wao na kuwachukulia hatua, je ni sahihi kuongea siri za ndani kwenye media! Mmmh ama kweli chama kimepata msemaji