TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 11,014
- 22,137
Humphrey Polepole hapoi wala haboiMpaka sasa balozi polepole anakabia juu mno. Machawa wanaweweseka hawawezi kumjibu wana rukarua.
Nyie machawa wa lumumba.
Polepole ana data/ takwimu mjibuni kwa takwimu siyo viroja vya hoja !
Balozi amesema MAGUFULI alimalizwa na Wanamtandao wewe unatutajia mambo ya MELI sijui afya yaakili?
Polepole shikari hapohapo