Polepole anakabia juu. Mnoo, machawa wanakanyagana tu

Kinoamiguu

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2018
Posts
16,355
Reaction score
23,076
Mpaka sasa balozi polepole anakabia juu mno. Machawa wanaweweseka hawawezi kumjibu wana rukarua.
Nyie machawa wa lumumba.

Polepole ana data/ takwimu mjibuni kwa takwimu siyo viroja vya hoja !

Balozi amesema MAGUFULI alimalizwa na Wanamtandao wewe unatutajia mambo ya MELI sijui afya yaakili?

Polepole shikari hapohapo
 
Halafu chawa wenyewe ni duni mno!
 
Hahahaha Data/takwimu zipi ambazo HP ameziweka kussuport tuhuma za anaowatuhumu mpaka sasa?

Mbona mimi naona anaongea tu yale ambayo mtu yeyote anaweza kuongea, tena mengine ni yale yanayojulikana na Kila mtu mtaani.
RA kuitwa fisadi hajaanza leo, aliitwa fisadi na kuwekwa kwenye list of shame pale mwembe Yanga na Dr Slaa.

ndani ya viunga vya Hodeidah Yemen.
 
We Rostam weweeee...! Mungu anakuona!
 
We Rostam weweeee...! Mungu anakuona!

hahahaha, inawezekana tumesahau EL alikuwa fisadi halafu El huyohuyo tukamsafisha akawa mtakatifu Kamanda.

mkuu au wewe una secret documents zinazoonyesha wizi wa RA ambazo HP amedisclose mtaani?

Nimekumbuka tu ile sijui weak leaks, bwana Asenga na Snowden na yake makabrasha.

ndani ya viunga vya Hodeidah Yemen.
 
541532332_1199809388857537_884505954591242819_n.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom