Polepole amkimbia Msigwa Azam tv!!

hapana mkuu sijapanic, i have to correct where i see problem, mantiki yangu kuonyesha upungufu tu kwamba habari yako imekosa kitu kinaitwa 5W, 5W ni taaluma katika uandishi ambayo ndio hutoa uahalali wa habari yoyote unayoiona au kuskia.
We bure kabisa umeonyeshwa kuwa habari hiyo imetolewa mahali na kuletwa JF, hayo mambo ya 5W ni reporting za magazetini na vyombo rasmi hapa unapata kitu unaleta watu wanaoujua wanaweka ukweli sawa.
Sasa wewe unataka habari ya JF iwe na 5W? Utasubiri sana!
 
poor reasoning, poor thinking, high panic,
 
Polepole ni lazima alale mbele kwa kuwa kichwani mwake kajaza mbinu chafu za kupora matakwa ya wapiga kura.
 
Pole pole hana ubavu wa kukaa meza moja na Msigwa. Hata kwenye daladala atatoa udhuru wa kupitishwa kituo
 
Polepole tayari anajua ushindi walioupata kupitia tume hivyo hakutaka kuvuruga dili.
 
Polepole ni kielelezo halisi cha namna mwanasiasa hawezi kuingia peponi hasa unapokuwa ndani ya mfumo kama wa ccm yasasa
 
kipindi kingeemdeshwa upande mmoja nafikiri kituo cha azam tv kingefungiwa ,, ingeonekana hawakubalance story
 
kama ni kweli ,polepole umetumia njia nzuri ya kukwepa ,......Ahsante
 
Anabahati angepata tabuuu sanaaa sikuizi akili zake zinazidi kudidimia
 
Unafikir msigwa anawazid wote wale waliokuwa wana jadili utafiti wa TWAWEZA? Na je umesahau msigwa alivyomuogopa Jiwe akakosa ya kuongea akabaki kumsifia JPM THEN BADAE Akaenda kujitetea kwenye mitandao? Tafakari
 
Pole pole aache kukimbia mjadala wa utafiti wa TWAWEZA uliokuwa umejaa wapinzani kibao ,aje kukimbia mtu aliyemuogopa JPM akabaki kummwagia misifa na kukimbilia kuomba radhi mitandaoni!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…