Hebu kula pesa. Kidogo hapo, umetoa point bokoYes,
hivi sasa amejivika utakatifu wa kinafiki na kujikita zaidi katika kupotosha waliopoteza uelekeo wa kisiasa kama yeye 🐒
Petro aliopoulizwa anamfahamu Yesu alimkana mara tatu.Nipe mifano ya Agano Jipya. Mambo mengi ya Agano la Kale Yesu alipokuja aliyafanyia ammendment. Wakati wa Agano la kale ilikuwa halali kuua, Yesu akaja akaibadilisha sheria hiyo. Hivisasa kuua ni dhambi. Vivyo hivyo kusema uongo ni dhambi katika Agano Jipya. Kasome habari za Anania na Safira. Walikufa immediately baada ya kusema uongo. Hapo vipi, mkuu.
Asee, kumbe wengine mnakula kiulaini namna hiyo? Yaani wewe umo humu kuhesabu ID mpya tu na mkono unaingia kinywani, teh tehSenior member...pambana bado kidogo utapanda cheo na kuwa Expert member...new ID kama kawa kwenye ubora wenu! Wewe ni wa 39 mpaka sasa! Nazidi kuwahesabu
Tunawajua nyie wazee wa buku 7 saiz mmeongezewa imekuwa buku 8 na jero...pambana mzee mamaAsee, kumbe wengine mnakula kiulaini namna hiyo? Yaani wewe umo humu kuhesabu ID mpya tu na mkono unaingia kinywani, teh teh
Nakumbuka Petro baada ya kumkana Yesu, alilia machozi kuonesha majuto na toba. Baada ya pale kuna sehemu nyingine uliyosoma kwamba alisema uongo?Petro aliopoulizwa anamfahamu Yesu alimkana mara tatu.
Yesu mwenyewe alitabiri hilo litatokea.
Unafikiri kwanini Petro hajaoewa adhabu?
Alisema uongo ili asiuwawe na yeye. Angeuwawa yasingetimia maneno ya Yesu ya kulijenga hekalu juu ya mwamba(Petro) huo.
Nipe mifano ya Agano Jipya. Mambo mengi ya Agano la Kale Yesu alipokuja aliyafanyia ammendment. Wakati wa Agano la kale ilikuwa halali kuua, Yesu akaja akaibadilisha sheria hiyo. Hivisasa kuua ni dhambi. Vivyo hivyo kusema uongo ni dhambi katika Agano Jipya. Kasome habari za Anania na Safira. Walikufa immediately baada ya kusema uongo. Hapo vipi, mkuu.
Sioni kosa hapo. Alisema mimi sipandi bado, BAADAYE akaenda. He was right. Angesema hapandi na saa hiyohiyo akapanda, tungesema alidanganya. Lakini alipanda baadaye. Uongo wake uko wapiYesu na Ndugu zake – Yohana 7:8-10
Yesu aliwaambia ndugu zake: “Ninyi pandeni sikukuu hii; mimi sipandi bado...”
lakini baadaye akaenda kisirisiri.
Sema kingine.
Sioni kosa hapo. Alisema mimi sipandi bado, BAADAYE akaenda. He was right. Angesema hapandi na saa hiyohiyo akapanda, tungesema alidanganya. Lakini alipanda baadaye. Uongo wake uko wapi
Caricatures(vikaragosi) wa akina Rostam, Abdul, Mkwere, bibi Kibwengo na timu yote ya wahuni wanamtandao eti kwa ajili ya counterattacking mashambulizi ya Polepole.Senior member...pambana bado kidogo utapanda cheo na kuwa Expert member...new ID kama kawa kwenye ubora wenu! Wewe ni wa 39 mpaka sasa! Nazidi kuwahesabu
Kama kakatwa kichwa vileUzi wa kianithi huu
Ww unaona saa 3:00 ni sawa kabisa na saa 3:50? Kama ni hivyo ukiwa Mkurugenzi wa shirika la ndege tutapata tabu sana.
Hekima na uongo ni vitu viwili tofauti. Kajifunze tena hekima ya Mfalme Sulemani uone jinsi ambavyo hakuchanganya hekima na uongo, ndio sababu alisema: Midomo ya uongo ni chukizo kwa Bwana; bali watendao kweli ndio furaha yake. Nenda kasome tena Wakorintho imeandikwa hekima ya dunia hii ni upumbavu mbele za Mungu.Hekima ,ujuzi
Kajifunze Tena maandiko
Wazee kama nrie ni wa kuchapwa vibokoUtapungukiwa nini ukiheshimu ngaa kidogo nywele zangu nyeupe? Au kwenu hakuna wazee?