Yesu mwenyewe aliwaahidi watu wa enzi hizo kuwa atarudi lakini hao walioahidiwa hata mifupa yao ilishageuka vumbi tangu karne nyingi zilizopita lakini hajarudi.Nimesikiliza mara nyingi hotuba za Mheshimiwa Polepole, na nimejiridhisha pasina shaka kwamba huyu ndugu ni Mkristo, tena aliyebobea katika ujuzi wa Biblia.
Katika hotuba zake anazoziwasilisha kwa weledi wa hali ya juu, mara nyingi akimaliza episode ya kwanza, huwa anaahidi kwamba siku fulani na saa fulani ataongea tena na umma. Hata hivyo, ahadi hiyo huwa haitimii kwa asilimia mia moja. Kuna wakati anaanza kuongea mapema kabla ya muda aliousema, na wakati mwingine anachelewa sana kuanza. Of course, hiyo inaweza kuwa mbinu ya kuwakwepa wakata swichi, lakini sidhani kama jambo hilo linampendeza Mungu anayemuabudu. Mimi sio mjuzi sana wa Biblia, lakini nakumbuka kuna mahali imeandikwa kwamba tusiambiane uongo, kwakuwa tumeuvua utu wa kale; na kwamba waongo watahukumiwa adhabu.
Ndio sababu nauliza: huyu Mheshimiwa amejivua Ukristo? Kama bado, kwanini hayatimizi maagizo ya Bwana Yesu? Na je, kama malengo yake yatafanikiwa, si ataendelea na tabia hiyohiyo ya kuudanganya umma hata katika mambo nyeti?
Kwa unyenyekevu mkubwa, nawasilisha maswali yangu.
Kupoteza uelekeo👇🏾Yes,
hivi sasa amejivika utakatifu wa kinafiki na kujikita zaidi katika kupotosha waliopoteza uelekeo wa kisiasa kama yeye 🐒
Aliowaahidi alipaswa kuwarudia wakiwa bado hai otherwise hakupaswa kuwaahidi, aliwatapeli.Kwani Yesu alisema atarudi siku gani na saa ngapi?
Vipi pale alipo sema kizazi hiki hakita pita kabla ya kushuhudia ujio wake wa pili, alikua anasemea kizazi gani labda?Kwani Yesu alisema atarudi siku gani na saa ngapi?
Basi kama hivyo hata wachezaji wa mpira wana dhambi.Ukiniambia utaongea na mimi saa tatu, ukaongea saa nne, umeishaniambia uongo. Vinginevyo usiseme specific time. Au vipi
Kuiba kwa manufaa yako kwa nia ovu haiwezi kupata kibali cha Mungu.Kama ni hivyo, basi tusiwanyoshee vidole wote wanaosema uongo na kutuibia
Ni swali tu. Kama jibu lako ni hilo basi inatosha.Chachu kidogo huchachua donge zima. Hapo vipi, mkuu
Ngoja waje wajuzi watatuambia. Ila nijuavyo mimi, Yesu hakusema siku wala saa ya kuja kwake. Huyo mheshimiwa huwa anataja siku na saa exactlyVipi pale alipo sema kizazi hiki hakita pita kabla ya kushuhudia ujio wake wa pili, alikua anasemea kizazi gani labda?
Rudi kwenye Bible utaona Abraham baba wa Iman anadanganya watu kuwa Sarah ni dada yake na si mkewe. .. ukisoma hiyo part rud hapa kuna kitu ntakuelekeza kuhusu uongo ambao ni dhambi na ule ambao una thawab kwa mwenyez MUNGU. ...."Msema kweli ni mpenzi wa Mungu" Hiyo methali imeishafutwa?
Teh teh. Mfano wako unaonesha watu wote wana dhambi. Kama ni hivyo, tusilaumiane. Mheshimiwa anawalaumu wenye dhambi wakati na yeye ana dhambi. Kama ni mechi basi 0-0Basi kama hivyo hata wachezaji wa mpira wana dhambi.
Ukitaka kumpiga mtu chenga, unatishia kama unaenda kushoto lakini unaenda kulia hiyo nayo ni dhambi maana umemdanganya mpinzani wako.
Vipi kuhusu penati zinazopigwa, unaona kabisa kipa karuka kulia na mpira unaenda kushoto.
Nipe mifano ya Agano Jipya. Mambo mengi ya Agano la Kale Yesu alipokuja aliyafanyia ammendment. Wakati wa Agano la kale ilikuwa halali kuua, Yesu akaja akaibadilisha sheria hiyo. Hivisasa kuua ni dhambi. Vivyo hivyo kusema uongo ni dhambi katika Agano Jipya. Kasome habari za Anania na Safira. Walikufa immediately baada ya kusema uongo. Hapo vipi, mkuu.Rudi kwenye Bible utaona Abraham baba wa Iman anadanganya watu kuwa Sarah ni dada yake na si mkewe. .. ukisoma hiyo part rud hapa kuna kitu ntakuelekeza kuhusu uongo ambao ni dhambi na ule ambao una thawab kwa mwenyez MUNGU. ....
Mfano: unapokwepa kumwambia mwanao kua alipatikana after sex na unamdanganya kuwa mlimwokota hospital