Poleni wasomaji wa JAMHURI

Poleni wasomaji wa JAMHURI

Manyerere Jackton

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
2,438
Reaction score
4,461
Nawapa pole wasomaji wa JAMHURI, hasa katika Mji wa Dodoma kwa kukosa Gazeti hilo leo. Kilichotokea ni kwamba watu fulani walioguswa na habari wasiyoitaka, wamenunua magazeti yote mitaani.

Hii tabia sasa inaelekea kukubuhu, kwani ni juzi tu Tanzania Daima nalo lilinunuliwa lote baada ya kuwa na habari isiyowafurahisha watu fulani fulani.

Aidha, mwaka jana JAMHURI lilinunuliwa lote nchi nzima na kuteketezwa baada ya kuandika habari za CAG zilizomhusu tajiri fulani.

Ni mambo ya kusikitisha.
 
Waandishi njaa na kijarida la mwandishi wetu, mara hakutaka jina lake liandikwe, mara blah blah blah! daima huwa nalikumbuka sana Mwanahalisi, alikuwa anaweka mambo wazi, hakuna cha fulani wala fulana, mpaka sasa, unaongea story fulani, kwa nini usitaje?

Sidhani kama kuna mwandishi atatokea jasiri kama Kubenea, Issu ya Dr. Uli, anasema fulani? EL na RA na Richmond yao, alikuwa anasema wazi...
 
kuna watu wana hela aisee! Yaani mtu anaamua kununua magazeti yote?
 
Baada mfurahi mmefanya biashara ya maana siku ya leo af mnasikitika mtu kununua magazeti yote! Kama mngekuwa mnawajali sana watu wa Dodoma mnge print copy nyingi nyingine na kuzisambaza.
 
kweli hiyo tabia imekubuhu, muwe mnaweka na mtandaoni tuone kama watakuwa wanakata network za mitandao yote kwa kununua. ila ebu tuambie hiyo story ya leo ilikuwa ni ipi mpaka jamaa wakanunua magazeti ya JAMHURI?
 
...ntaanzisha gazeti,nimeona oportunity ya kuuza kwa mpigo,kilasiku ntakuwa nabamiza siri za watu...
 
Nawapa pole wasomaji wa JAMHURI, hasa katika Mji wa Dodoma kwa kukosa Gazeti hilo leo. Kilichotokea ni kwamba watu fulani walioguswa na habari wasiyoitaka, wamenunua magazeti yote mitaani.

Hii tabia sasa inaelekea kukubuhu, kwani ni juzi tu Tanzania Daima nalo lilinunuliwa lote baada ya kuwa na habari isiyowafurahisha watu fulani fulani.

Aidha, mwaka jana JAMHURI lilinunuliwa lote nchi nzima na kuteketezwa baada ya kuandika habari za CAG zilizomhusu tajiri fulani.

Ni mambo ya kusikitisha.

Mara watu fulani, mara matajiri fulani...si uwataje!
Woga ni nusu ya umauti
 
Mwl. Deo.Balile naona leo mmepiga "hela" ya kufa mtu...?
 
tujuzeni lilikuwa na habari gani? kweli hatujaliona leo kwenye viunga vya dodoma
 
Kama siyo advertisement, yatakuwa ni yale yale ya rejareja.

Last edited by a moderator:
Hiyo habari iliyosababisha muuze kwa jumla ni habari gani hiyo ? Hivi hakuna sheria ya kuzuia kununua kwa mpigo mpaka wengine wa mkoani wakose ?

Sisi wengine toka lianzishe tunalisikia tu. Hembu tuwekee hio habari yenyewe tuone ilikuwa na issue gani hasa !
 
Nawapa pole wasomaji wa JAMHURI, hasa katika Mji wa Dodoma kwa kukosa Gazeti hilo leo. Kilichotokea ni kwamba watu fulani walioguswa na habari wasiyoitaka, wamenunua magazeti yote mitaani.

Hii tabia sasa inaelekea kukubuhu, kwani ni juzi tu Tanzania Daima nalo lilinunuliwa lote baada ya kuwa na habari isiyowafurahisha watu fulani fulani.

Aidha, mwaka jana JAMHURI lilinunuliwa lote nchi nzima na kuteketezwa baada ya kuandika habari za CAG zilizomhusu tajiri fulani.

Ni mambo ya kusikitisha.

Ili kuwa tajiri mwezi huu fanya hivi kila wakinunua wewe chapa taarifa ile ile kwa ajili ya kesho yake hadi uwe tajiri ndani ya wiki tatu zijazo. Cheza na Jamhuri weye!!!
 
JAMHURI :
Kashfa yamkumba Naibu Spika - Ndugai !
• Mwanamke " mgeni wake " adaiwa kumkopa maelfu ya Dola kitaalamu

• Yeye amgeuzia kibao mtumishi wa ndani, amsweka rumande siku 7

• Mtumishi wa ndani afukuzwa, aielekeza JAMHURI kila kilichotokea

• Walinzi wawili wa kike wasimamishwa , mishahara , posho zafyekwaa
 
Sisi wengine toka lianzishe tunalisikia tu. Hembu tuwekee hio habari yenyewe tuone ilikuwa na issue gani hasa !

Ilishatokea tena huko nyuma wakadai kuwa tukio hilo limewafanya wajenge website kwa kasi kubwa na anwani yake ni www.jamhurimedia.co.tz.

Hata hivyo, hiyo website haipatikani.

Bongo full of ngonjera. Hard to trust anyone.
 
JAMHURI :
Kashfa yamkumba Naibu Spika - Ndugai !
• Mwanamke " mgeni wake " adaiwa kumkopa maelfu ya Dola kitaalamu

• Yeye amgeuzia kibao mtumishi wa ndani, amsweka rumande siku 7

• Mtumishi wa ndani afukuzwa, aielekeza JAMHURI kila kilichotokea

• Walinzi wawili wa kike wasimamishwa , mishahara , posho zafyekwaa

Kumbe magazeti yamenunuliwa sababu ya huyu mlevi'
 
Nawapa pole wasomaji wa JAMHURI, hasa katika Mji wa Dodoma kwa kukosa Gazeti hilo leo. Kilichotokea ni kwamba watu fulani walioguswa na habari wasiyoitaka, wamenunua magazeti yote mitaani.

Hii tabia sasa inaelekea kukubuhu, kwani ni juzi tu Tanzania Daima nalo lilinunuliwa lote baada ya kuwa na habari isiyowafurahisha watu fulani fulani.

Aidha, mwaka jana JAMHURI lilinunuliwa lote nchi nzima na kuteketezwa baada ya kuandika habari za CAG zilizomhusu tajiri fulani.

Ni mambo ya kusikitisha.

Kwani lilikuwa na habari gani.
 
Ndugai ana fedha mbaya yani kanunua magazeti yote ya dodoma ha ha ha jacton mtafute kubenea akufundishe ujasili mambo ya blah blah mtu flan mara tajiri flan hatutaki
 
Kununua Magazeti yote kwa sababu ya Habari ya Ndugai ni ujuha wa hali ya juu. Huyu jamaa watanzania wote wanamdharau sidhani kama atachezea hela kulinda heshima ambayo hana...

Na yyeye anapiga biashara ya Kinana nini? Midola yote hiyo...
 
Back
Top Bottom