MTENDAHAKI
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 4,013
- 1,443
Yaani mtu apande ndege mpk kigoma then achukue basi??maajabu kweli!Toa ushauri mwingine mzuri ili tuboreshe, mathalani route ya kigoma iunganishwe na kwenda Congo DRC au BurundiHuo ni ufinyu wa kufikiri. Kigoma inapakana na Congo na Burundi. Kwa hiyo argument kwamba kuna wasafiri wachache haina mashiko. Wafanyabiashara wengi kutoka kongo na burundi wanaofanya biashara hapa DSM wanaweza kutumia route ya kigoma badala ya kupitia Kigali na rwandair. La msingi ni kujipanga na kujitangaza vizuri.