Poleni wafanyakazi wenzangu, labda kuna kicheko huko mbele

CK Allan

JF-Expert Member
Aug 14, 2013
2,729
5,923
Miaka mitano au sita. Kwa wale walioajiriwa 2014 hawajapanda daraja kwa miaka yote sita (6). Kwa wale wengine ni miaka 5 bila ile nyongeza, wamepitia changamoto nyingi.

Kulikuwa na dalili nzuri sana lakini ndio hivyo tena tukapata janga hili la "Kovidi19/20"

Wenyewe wanasema bado haijulikani utaisha lini. Sasa chochote kinaweza kutokea. Labda ikatoka 6 hadi 10 bila bila, ama chochote kinaweza kutokea.

Anyway Tuendelee na nyungu season 2
 
Attachments

  • IMG_20200515_114116_846.JPG
    IMG_20200515_114116_846.JPG
    21.6 KB · Views: 2
Ngoja tusubiri hiyo Juni 11 huyo waziri wa fedha atakapo soma bajeti kuu ya serikali. Bora hata wasiongeze huo mshahara! Ila kutokupandisha madaraja kwa zaidi ya miaka 3 kama ilivyokua hapo awali, ni uonevu na ukatili usiovumilika kwa wafanyakazi.
 
Miaka mitano au sita. Kwa wale walioajiriwa 2014 hawajapanda daraja kwa miaka yote sita (6). Kwa wale wengine ni miaka 5 bila ile nyongeza, wamepitia changamoto nyingi.

Kulikuwa na dalili nzuri sana lakini ndio hivyo tena tukapata janga hili la "Kovidi19/20"

Wenyewe wanasema bado haijulikani utaisha lini. Sasa chochote kinaweza kutokea. Labda ikatoka 6 hadi 10 bila bila, ama chochote kinaweza kutokea.

Anyway Tuendelee na nyungu season 2
wapande tu hata daraja la Mfugale maana hali ishakuwa tete....
 
Kipaumbele sasa hivi ni hii miradi mikubwa niliyoanzisha. Wacha niikamilishe kwanza, hapo nitaongeza kweli kweli! Mimi sitaki kuwaongezea hivi visenti vidogo, nataka nije niwaongezee kweli kweli, tusubiri tuone kama 2025 hiyo miradi nitaikamilisha, hapo sitakuwa na sababu ya kuwanyima!!
 
Miaka mitano au sita. Kwa wale walioajiriwa 2014 hawajapanda daraja kwa miaka yote sita (6). Kwa wale wengine ni miaka 5 bila ile nyongeza, wamepitia changamoto nyingi.

Kulikuwa na dalili nzuri sana lakini ndio hivyo tena tukapata janga hili la "Kovidi19/20"

Wenyewe wanasema bado haijulikani utaisha lini. Sasa chochote kinaweza kutokea. Labda ikatoka 6 hadi 10 bila bila, ama chochote kinaweza kutokea.

Anyway Tuendelee na nyungu season 2
Wafanyakazi mmeweka maslahi mbele kuliko kuchapakazi, wale wa Afya....WAGONJWA WA COVID MNAWAKIMBIA HUKO MAWODINI, wale Wahandisi bure kabisaaa Mvua zimefumua Vikarabati Uchwara vyenu huku Mitaani ni AIBU na Degree zenu barabara zooote Mtaani hazipitiki. Wale wa Utafiti wa Kisayansi hovyoooo mpaka Dawa ya Covid tumefuata Madagascar.
Walimu hamjitumi, mnafanyakazi ilmradi liende, watoto wanamaliza la Saba pasipo kujua kusoma na Kuandika, Polisi ni mwendo wa Kuwakamua Raia mshiko wa Kubrash Viatuuuu, wamewageuza wanaomiliki Magari kama Vitega Uchumi, nakereka mnoooooooo nawaombea laana ktk dhana hii. Magereza Poleni sana, Mungu anaona mateso yenu namwomba Mungu wa Mbinguni mkumbukwe katika Ufalme ujao. Uhamiaji hawajitambui wamelala Usingizi wa Pono, Warundi, Wanyarwanda, Wasomali, Wamsumbiji wameigeuza Tanzania Shamba la bibi wanapika na Kuapakua mitaani huku Vijana wa Kitengo wakiwawamewageuza Vitega uchumi kujichotoea mshiko.
JW na TISS Mungu awape nini!
Kada nyingine za Serikali wamebweteka na wanahesabu Miaka tu kuwa ndio Kigezo cha Kupanda Vyeo, thats BIG NOOO. Je,
Mnautendajikazi wa Kutukuka.
Mnazishika na kuzitendea haki Miiko ya Utumishi.
Mnatekeleza Malengo yenu ya OPRAS.
Kwa Kiasi gani mmefanikisha Malengo ya Taasisi kufikiwa nk nk nk.
Wengi wenu mmebaki kwenda kusaini Vitabu na Kuchati kwenye magroup ya Wasap halafu mwisho wa Mwaka mnataka mpande Madaraja, Hakyanani Mwaka huu mtapanda kwenye DARAJA LA KIEGEA... kama mtalikuta!
 
Umeelezea vizuri Sana pasipo kupindapinda nimekupenda bure
 
Back
Top Bottom