Poleni UwT kwa misiba hii


Haya mla plau mmojawapo huyooo aseme sasa ni kwa nani kulikuwa na plau hiyo jana???
 
Wakati huu tunapohangaika kujua nani atakuwa role model, watu ambao wamekuwa wazalendo wa kweli, ingekuwa vema tukawaenzi na kuwaonyesha kuwa waliyoyafanya hayakuwa bure wala ya kudharaulika.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi.Ameni!
 

Sasa kama msoma wasifu alisema wazi kwamba huyo bwana alikuwa mtumishi wa idara ya Usalama wa Taifa, tena utumishi wake ulijaa uadilifu, kuna haja gani ya kuendelea kuficha jina?
 
UWT? Hakuna hata mmoja huko UWT anayestahili kutuzwa kwa kuacha nchi ikiporomoka namna hii enzi za JK administration. Sitoi pole mimi. Potelea mbali.
 

Mkuu MMKJ,

Mbona unaogopa kumtaja wakati ameishakufa? Kama sheria inakataza, mbona umemtaja Apson? Au hiyo sheria kwa wengine haifanyi kazi?

Nataka kujua tu!!!! Naogopa kutoa pole kwa wafiwa bila kumjua aliyekufa.

Tiba
 
Nimeambiwa kuna kigogo mwingine wa UWT aliyekuwa anaishi Mbezi Beach amefariki wiki iliyopita. Alifia Bugando na amepelekwa kuzikwa kwao Karagwe. Sisi majirani tulimjua kwa jina la Nyinondi!! MM wewe ficha sisi tunasema!!
 

Sasa mbona bado unashindwa ku-comply na JF slogan?

.....utaweza kumwambia JK face to face kwamba ''Wewe JK ni Fisadi namba moja'' kweli.....suppose unapata hiyo opportunity?
 
lakini na wewe mwanakjj sheria ipi inakuzuia kututajia Marehemu unayoiogopa ?????
haya mungu aiweke roho yake pema peponi
Amen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…