Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,251
- 44,586
Napenda kutoa salamu za pole kwa idara baada ya kumpoteza mkongwe mwingine aliyezikwa huko Tabata. Mzee wetu huyo ni mmoja wa kundi la maajenti wetu waliofanya kazi wakati wa vita baridi. Ndani ya mwaka huu idara imepoteza karibu wakongwe wanne ambao huyu wa Tabata alikuwa mpinzani mkubwa wa Apson. Sheria inanikataza kutaja jina lake lakini kwa niaba ya raia wenye shukrani naomba nitoe pole kwa wafiwa na asante kwa utumishi uliotukuka. SOTE NI WA MOLA NA KWAKE TUTAREJEA. AMIN
Sheria ipi na ya wapi?

Kulikuwa na umuhimu gani wa kutoa bandiko hili kama jina linafichwa?
Mzee Mwanakijiji mimi namjua jina na nilikuwapo msibani, na aliesoma Wasifu alisema kwa uwazi kabisa Kuwa aliajiliwa kama usalama wa Taifa, akifanya kazi nchi mbalimbali mojawapo ikiwa USSR, aliingia huko baada ya kukataa kwenda Makerere University.Napenda kutoa salamu za pole kwa idara baada ya kumpoteza mkongwe mwingine aliyezikwa huko Tabata. Mzee wetu huyo ni mmoja wa kundi la maajenti wetu waliofanya kazi wakati wa vita baridi. Ndani ya mwaka huu idara imepoteza karibu wakongwe wanne ambao huyu wa Tabata alikuwa mpinzani mkubwa wa Apson. Sheria inanikataza kutaja jina lake lakini kwa niaba ya raia wenye shukrani naomba nitoe pole kwa wafiwa na asante kwa utumishi uliotukuka. SOTE NI WA MOLA NA KWAKE TUTAREJEA. AMIN