IsangulaKG
JF-Expert Member
- Oct 14, 2010
- 706
- 386
- Thread starter
- #21
Anayetukana sana hana Busara kichwani...Mwenye Busara hushauri si kuita watu malimbukeniyaani unajifanya umesahau kiswahili kabisaaaaaaaaaa. huna hata aibu....mwaka jana umekuja na ukapiga kura halafu leo unasema eti samahani kama ntakuwa nimekosea kiswahili....huko uliko huna hata miaka 20........usitupe pole sisi wewe lilila ndugu na jamaa zako.....
ulimbukeni tu unakusumbua......