Ninapenda kuwapa POLE SANA Wafanyakazi wa CRDB Tawi la Nyanza Mwanza kwa kufiwa na NDUGU MBONEA kutokana na kifo cha ghafla kilichotushangaza wengi.
Kwa wale wanaomfahamu Ndugu MBONEA aliyekuwa Mkuu wa Kitengo cha Mikopo ni mtumshi aliyejali kazi yake, aliyependa wateja na aliyependa kuwashauri wateja. Ni mtumishi mcheshi na hakuna wakati unaweza kumwona Ndugu MBONEA kakasirika. CRDB mmepoteza Jembe.
RIP Ndugu MBONEA.