Poleni sana Wachaga kwa kauli aliyotoa Makonda msibani

Vijitu vishamba na maskini Kama wewe akili zenu zipo ktk 0713
Wachaga na kilimanjaro ktk nchi hii ndio role modal wa karibu kila kitu sio elimu,sio pesa,sio uchumi
Kilimanjaro vijin nyumba ya kuku Ni nzuri kuliko nyumba Yako wew mshamba
Wewe acha uongo, nipo Knjaro huku sioni huo upupu ulio andika.
 
Ndugu zangu kwanza niwape pole sana kwa kauli aliyotoa makonda msibani.
Ni kauli ya kupingwa na yeyote yule mwenye kuitakia mema nchi yetu. Naomba niseme mimi sio mchaga.

Tanzania ni nchi yenye makabila mengi sana, zaidi ya 120, yenye mila na desturi zinazofanana na zizisofanana. Tanzania ni nchi ambayo makabila yanaingiliana bila tatizo lolote. Sisi tuliokulia mijini tumekuwa na majirani na ndugu wachaga. tumeishi nao vizuri , kiukweli ninao marafiki wengi wachaga, sijawahi kuona dalili yoyote ya ubaya ndani yao. Wamekua mstari wa mbele katika shughuli za kimaendeleo, wamekuwa wakinipa ushauri wa hali na mali. Ni wakarimu kwa kweli.

Nimekaa na kujiuliza na kutafakari wachaga wamemkosea nini huyu bwana? kweli ni ajabu kuona mchaga akitoa msaada kwa mlemavu? au kwa yeyote yule? yani amewashusha chini ya kiwango cha ubinadamu kwa kweli. Hii mentality ya kiongozi mpaka ameweza kuitoa mbele ya umati je moyoni kwake atakuwa anawafikiriaje wachaga? Sijui ata swahiba wake Jerry ameelewaje ile kauli. Najiuliza akiwa na fursa mfano ajira nk. Je mchaga atakuwa na nafasi gani kwa huyo kiongozi? Huu mtazamo hasi nimeusikia kwa watu mbalimbali , binafsi nadhani kuna chembe chembe za wivu ndani yake kwani hizi stereotype na baseless acussations hazina mashiko na ata ukiuliza hawana evidence zaidi utakuta ana mifano mingi sana ya kusaidiwa na hao wachaga. wengine ata kuishi nao hawajawahi lakini utasikia wachaga mara wezi mara nini. Hii siyo dalili nzuri.

Wachaga poleni sana. Mungu atawasmamia.
Acha unaa wewe ni mpinzani. Mbona kauli ile haikuwa na problem, sema ni utani wa wasukuma tu.
 
Makonda kawasema wachaga nao wameenda kumshitaki; na Baba Askofu wa KKKT anataka amsamehe kanisani- Hivi yale majani ya msamaha wanayowatumia wachaga hayapo tena?
Ungeuliza kuna uhusiano gani kati ya wamachame na kkkt. Jibu ni kwamba wamachame waliyo wengi ni kkkt ie walutheti na huyo askofu shoo ni mmachame.
 
Makonda kawasema wachaga nao wameenda kumshitaki; na Baba Askofu wa KKKT anataka amsamehe kanisani- Hivi yale majani ya msamaha wanayowatumia wachaga hayapo tena?
Dr Bashiru ndiye aliyemuombea msamaha kwa waumini ambao wengi ni wachaga Na askofu Dr Shoo,sasa ulitakaje?
 
Wewe acha uongo, nipo Knjaro huku sioni huo upupu ulio andika.
Karibu uchagani paradiso ya tz
Usidhan huku Ni Kama kule kwenu porini meatuView attachment 1093503
tapatalk_1557338052832.jpeg
 
Anaweza kuwa ametoa kauli isiyo sahihi ila sidhani kama ni mjinga labda kama umeamua tu kumtukana,he is smart ila huwa kuna vitu anakosea kwa sababu ya ujana au ubinadamu
Bashite ana akili mbovu kweli, leo katoa kauli nyingine ndio nimejua ana matatizo ya akili, lakini itamletea madhara mtaona.
 
Back
Top Bottom