Pius J. Kiwarya Lema
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 1,097
- 566
Poleni sana sana wafiwa.
Kama taifa ni msiba wetu sote
Ni tukio la kikatili
lisiloelezeka ambalo
Limetuondolea nguvu ya pamoja ya watoto wetu waliokuwa wanitafuta elimu kwa bidii.
Kwa Jina la Yesu naungana na wote walioondokewa na wapendwa wao;wa karibu wakiwemo wazazi walezi ndugu jamaa na marafiki nikiwaombea amani ya Moyoni na faraja ya kweli katika kipindi hiki chà kuugana na Watoto wetu kama taifa !
Ni ngumu wala si rahisi kukubali hali hii ;Lakini itoshe kuwaombea .Moyo wa tumaini katika Kristo Yesu Bwana wetu aliye hai.
Kila mmoja wetu anaweza kuchukua maneno ya Mtume Paulo 2 Korinto 15 akisema
Lakini Kristo amefufuka .......Nasi atafufua pamoja nao.
Poleni na Yesu wangu awaimarishe.
Kiwarya lema