Johnkelly
Member
- Nov 14, 2016
- 75
- 45
polen na mjukumu wadau jf..Naomba kufahamishwa kuuhu C&F ukiwa unaagiza gari nweka attachment ya picha nawasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
C&f (Cost & Freight)polen na mjukumu wadau jf..Naomba kufahamishwa kuuhu C&F ukiwa unaagiza gari nweka attachment ya picha nawasilishaView attachment 1070308
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umetisha, ungeweza na mawasiliano ya simu au website siku tulihitaji kuagiza tukutafuteC&f (Cost & Freight)
Yaani gharama ya gari pamoja na usafiri
Kwa lugha ingine, ni hharama ya gari kutoka japan mpaka kuifikisha bandari ya Dar
NOTE ;
GHARAMA HIYO, HAIJAJUMUISHA CHOCHOTE KINGINE CHA ZIADA
Hiyo ni bei tu ya gari kutoka Japan, hadi kukufikishia hapa nchini (Bandari ya Dar)
Kwa mujibu wa tra calculator
Gari hii ushuru wake ni
Tshs 4,191,506.55
Na gharama zingine za bandari ni kama ifuatavyo
Handling
Ni $7 plus vat per cbm ( cubic meters )
Ile gari ina cubic meters 10.671
So unafanya $7*10.671 = $74.697 plus 18% VAT
Inakua = $89
So, Handling ni $89
Corridor levy $0.3 plus vat per cbm
$0.3*10.671 = $3.2013 plus 18% VAT = $4
So Corridor ni $4
Wharfage 1.6% of cif value
Ile gari c&f yake ni $2,502
So, unafanya
$2,502*1.6% = $40.032
Kwahiyo;
Handling $89
Corridor levy $4
Wharfage $40.032
Total $133.032
Na pesa ya kutolea gari bandarini 200,000 (agency fee)
So jumla ya gharama zote ni
Tshs 9,861,000 ( hadi kukabidhiwa gari mkononi bima haijajumuishwa)
Unaweza iagiza gari hii kupitia Semsella enterprises
Kwa kulipia 7,395,750 tu
2,465,250 iliyobakia utamalizia kwa awamu awamu ya hadi miezi saba
Kila mwezi 353,000
(Instalment inaanza mwezi mmoja baada ya kukabidhiwa gari)
Karibu
Karibu sana!Mkuu umetisha, ungeweza na mawasiliano ya simu au website siku tulihitaji kuagiza tukutafute
Sent using Nokia 6
Gari kalinunua Japani kwa Tshs 5,098,518/C&f (Cost & Freight)
Yaani gharama ya gari pamoja na usafiri
Kwa lugha ingine, ni hharama ya gari kutoka japan mpaka
Gari hii ushuru wake ni Tshs 4,191,506.55
So jumla ya gharama zote ni
Tshs 9,861,000 ( hadi kukabidhiwa gari mkononi bima haijajumuishwa)
Unaweza iagiza gari hii kupitia Semsella enterprises
Kwa kulipia 7,395,750 tu
Karibu
Soma tena kwa makini, utaelewa!Gari kalinunua Japani kwa Tshs 5,098,518/
kwa hiyo kwa hiyo nijumlishe na jumla ipi ya TRA au hiyo ya kutolea gari ya Tshs 9.861.000 jumla iwe 15m au ni 19m ?
Msaada p.se hapo
Mimi sijaelewa ndio maana nimemuuliza MAGARI7Soma tena kwa makini, utaelewa!
Ndugu Ukwaju hebu zingatia sehemu hii ya andiko la MAGARI7Ile gari c&f yake ni $2,502
So, unafanya
$2,502*1.6% = $40.032
Kwahiyo;
Handling $89
Corridor levy $4
Wharfage $40.032
Total $133.032
Na pesa ya kutolea gari bandarini 200,000 (agency fee)
So jumla ya gharama zote ni
Tshs 9,861,000 ( hadi kukabidhiwa gari mkononi bima haijajumuishwa
Mkuu MAGARI7 upo sahihi kabisa nitakutafutaHabari Ukwaju
Ni hivi , pesa ya kununulia gari jumlisha ushuru jibu utakalo pata, jumlisha na hivyo vigharama vidogo-vidogo nilivyoorodhesha
Kisha jumlisha, pesa hii ya kutolea gari (200,000)
Kama kuna ambapo hujapaelewa, naomba uniulize, nikueleweshe kadri niwezavyo, ama mwenye ufahamu zaidi atusaidie. Karibu
Mkuu umewezaje kupata hio kodi ya TRA Tsh. 4,191,506.55 wkt kwny screenshot ya jamaa pale juu hajasema hio ni brand gani(toyota,nissan,benz etc) wala ni model gani,imetengenezwa mwaka gani,ina CC ngapi.C&f (Cost & Freight)
Yaani gharama ya gari pamoja na usafiri
Kwa lugha ingine, ni hharama ya gari kutoka japan mpaka kuifikisha bandari ya Dar
NOTE ;
GHARAMA HIYO, HAIJAJUMUISHA CHOCHOTE KINGINE CHA ZIADA
Hiyo ni bei tu ya gari kutoka Japan, hadi kukufikishia hapa nchini (Bandari ya Dar)
Kwa mujibu wa tra calculator
Gari hii ushuru wake ni
Tshs 4,191,506.55
Na gharama zingine za bandari ni kama ifuatavyo
Handling
Ni $7 plus vat per cbm ( cubic meters )
Ile gari ina cubic meters 10.671
So unafanya $7*10.671 = $74.697 plus 18% VAT
Inakua = $89
So, Handling ni $89
Corridor levy $0.3 plus vat per cbm
$0.3*10.671 = $3.2013 plus 18% VAT = $4
So Corridor ni $4
Wharfage 1.6% of cif value
Ile gari c&f yake ni $2,502
So, unafanya
$2,502*1.6% = $40.032
Kwahiyo;
Handling $89
Corridor levy $4
Wharfage $40.032
Total $133.032
Na pesa ya kutolea gari bandarini 200,000 (agency fee)
So jumla ya gharama zote ni
Tshs 9,861,000 ( hadi kukabidhiwa gari mkononi bima haijajumuishwa)
Unaweza iagiza gari hii kupitia Semsella enterprises
Kwa kulipia 7,395,750 tu
2,465,250 iliyobakia utamalizia kwa awamu awamu ya hadi miezi saba
Kila mwezi 353,000
(Instalment inaanza mwezi mmoja baada ya kukabidhiwa gari)
Karibu
Ni hili hapa mzeeMkuu umewezaje kupata hio kodi ya TRA Tsh. 4,191,506.55 wkt kwny screenshot ya jamaa pale juu hajasema hio ni brand gani(toyota,nissan,benz etc) wala ni model gani,imetengenezwa mwaka gani,ina CC ngapi.
Maana calculator ya TRA inataka details zote hizo nilizozitaja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekubali sana mkuu,hapo port charges haipo au ndio ipo kwenye hizo handling na corridor charges?C&f (Cost & Freight)