8C ni baridi ya Hatari sana poleni sana watu Wa Makete.Nipo makete leo kikazi lakini baridi la huku ni hatari,sijawahi kuona baridi kama hili.centigrade 8.
Nimejaribu kucheki kanda nyingne lakini haijafikia balaa la makete.
Iringa 15c
mufindi 10c
mafinga 11c
lushoto 12c
mbinga 15c
rungwe 13c
makambako 12c
njombe 11c
arusha 16c
babati 16c
monduli 15c
machame 12c
MAKETE 8c.
Kwa hali makete na njombe wana haki ya kuongoza kwa idadi ya waathirika wa ukimwi
Huku dar ikiwa 24 degree centrigrade tunaoga maji ya moto na kujifunika mablanketi na kuvaa majaketi
Makete ipi hiyo ya 8°C? Huku kitulo ni theruji tu
uyole ni 13c..13c sio mchezo aiseeHuku mahali kuna baridi aisee duh! Na kule Uyole hakuna mwenye namba zake?
uyole ni 13c..13c sio mchezo aisee
Nipo makete leo kikazi lakini baridi la huku ni hatari,sijawahi kuona baridi kama hili.centigrade 8.
Nimejaribu kucheki kanda nyingne lakini haijafikia balaa la makete.
Iringa 15c
mufindi 10c
mafinga 11c
lushoto 12c
mbinga 15c
rungwe 13c
makambako 12c
njombe 11c
arusha 16c
babati 16c
monduli 15c
machame 12c
MAKETE 8c.
Kwa hali makete na njombe wana haki ya kuongoza kwa idadi ya waathirika wa ukimwi
Achana na dushe mkuu,labda uwe mgonjwa ndio isiweze kusimana.Kwa baridi hiyo hata dushe linatetemeka, huo ukimwi utapata vipi?
Sasa baridi ikizidi ndio waongeze waathirika wa ukimwi?Nipo makete leo kikazi lakini baridi la huku ni hatari,sijawahi kuona baridi kama hili.centigrade 8.