BASIASI
JF-Expert Member
- Sep 20, 2010
- 9,732
- 5,010
Napenda kuwapa polen familia ya mh. Mwinyi popote pale walipo pamoja na jamaa na marafikiduniani tunapita akuna anaejua siku wala saa ila cha muhimu ni kujiandaa nimemsikiliza leo mtangazaji kibonde wa clouds fm akaanza kwa kuongea mengi tu lakini ya zaidi akafika sehemu akasema duniani tunapita na kila mtu ataondoka.
Lakini kifo chake mjukuu huyu kukielezea ni vigumu na kuhuzunisha naamini kimaadili hakustahili lakini kama wadau tunaitaji kujua je mjukuu wetu amefariki na nini?
Na kama kuna mhusika amehusika nini kinachofuata.
Narudia tena poleni sana familia ya mh. Ali Hassan Mwinyi, Mungu awatie nguvu wakati huu mzito.