1xbet Sports - EA
JF-Expert Member
- Feb 27, 2017
- 789
- 729
Huyu ngosha lazima ana damu ya kikuyu.
Si anajiona mungu mtu bana.. Hashaulik ambiliki aelezeki kiburi mtindo mmoja...Huyu Rais wetu ni wakipekee. Anaweza endelea kuula hivyo hivyo na mchanga.
Mtu asiyejaribiwa pole ya nini, self sufficientMhe. Rais najua unapitia wakati mgumu sana hii Wiki.
Mambo yaliofanya wiki hii ionekane ngumu kwako ni mambo haya.
Mosi ni kitendo cha waziri wa katiba na sheria Dr.Harrison Mwakyembe (mbobezi) kuja na "tamko" la ajabu kuhusu kila mtanzania kuwa na cheti cha kuzaliwa kabla ya kufunga ndoa.
Kesho yake baada ya hilo tamko, ulijitokeza kutengua tamko la waziri wako.
Ilidhiirisha wazi kuwa serikali (exécutive) sio mmoja.
Kwa kauli yako ulikiri hilo suala halijajadiliwa kwenye cabinet meetings na wewe ulifahamu.
Hii ni dhiaka kwa serikali na inatuacha watanzania uchi.
Pili ni vita ya kumzuia Tundu Lissu kuwa rais wa TLS kufeli.
Tulikusikia kwenye maadhimisho ya siku ya sheria ukisema wazi, nadhani ndipo hapo Mwakyembe akaona ngoja sasa atafute "kiki". Jana Lissu kashinda kwa kishindo 84% sio haba.
Tatu, hii sasa ndio funga kazi.
Kijana wako kipenzi Mhe. Paul Makonda ameonekana kwenye video footage za cctv clouds media trh. 17/03 saa 4usiku akivamia kituo indemand ya vidéo clip inayoonyesha madai ya binti kuzaa na Mch. Gwajima.
Ushaidi dhairi upo na nadhani umeuona.
Mhe. Wote tunajua unavyompenda Makonda na wote tunajua unavyoipenda clouds media.
Hapo ndipo kazi inapokuwa ngumu.
Naomba niishie hapo mkuu.
Nakupa pole sana.
Indeed it has been a very bad week to you Mr. President.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Hata mukitaka jina lake nilifute nitaliteua tena tu hilo hilo.,
[emoji106]Naona una mahaba niuwe na utawala huu.
Msiemjua magufuli ndio mnadhani ana kitu wakati mgumu..hizo alikuwa nazo jk..huyu anaiwazia mbali sana Tanzania.. Hiyo ndio kitu ugumu kwake..kwa mfano kesho anazindua mradi wa wa fly overs ubungo..sasa sidhani kama mtu kama umueleze sijui tundu lissu ooh bashite tena mitandao anayoijua hata yeye huwa inamchafua sana kisha akuelewe..wamebaki wapuuzi wachache ambao hawajaijua falsafa ya jpm.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Pole rais kwa kusema unapenda shilawadu, ubuyu umeingia mchanga.
Bashite yako lazima itakuwa imetumika sana mpaka umejikatia tamaaUnampa pole kwani amekuomba pole yako, kwa tatizo lipi?
Kuingia kwenye jengo ndio kuvamia ha ha haaaaa
Makonda oyeeeeeee
ameenda kulalamika au amekamatwa kwa jinaiUjasikia Ruge yupo central polis ?
Kinyago kinatishia amani, kinavamia ushilawaduni. Ngoja tuone na hili. Asubuhi alikiita jumba kuu baadaye tukasikie Ruge wa Clouds Media katiwa mbaroni.Hakuna cha wiki ngumu wala nini? Aondoe kinyago chake pale kwenye ofice ya umma
Kikikiki Acha kinivunja mbavu mkuuHuyu Rais wetu ni wakipekee. Anaweza endelea kuula hivyo hivyo na mchanga.