cheze
JF-Expert Member
- Apr 27, 2011
- 501
- 330
Mhe. Rais najua unapitia wakati mgumu sana hii Wiki.
Mambo yaliofanya wiki hii ionekane ngumu kwako ni mambo haya.
Mosi ni kitendo cha waziri wa katiba na sheria Dr.Harrison Mwakyembe (mbobezi) kuja na "tamko" la ajabu kuhusu kila mtanzania kuwa na cheti cha kuzaliwa kabla ya kufunga ndoa.
Kesho yake baada ya hilo tamko, ulijitokeza kutengua tamko la waziri wako.
Ilidhiirisha wazi kuwa serikali (exécutive) sio mmoja.
Kwa kauli yako ulikiri hilo suala halijajadiliwa kwenye cabinet meetings na wewe ulifahamu.
Hii ni dhiaka kwa serikali na inatuacha watanzania uchi.
Pili ni vita ya kumzuia Tundu Lissu kuwa rais wa TLS kufeli.
Tulikusikia kwenye maadhimisho ya siku ya sheria ukisema wazi, nadhani ndipo hapo Mwakyembe akaona ngoja sasa atafute "kiki". Jana Lissu kashinda kwa kishindo 84% sio haba.
Tatu, hii sasa ndio funga kazi.
Kijana wako kipenzi Mhe. Paul Makonda ameonekana kwenye video footage za cctv clouds media trh. 17/03 saa 4usiku akivamia kituo indemand ya vidéo clip inayoonyesha madai ya binti kuzaa na Mch. Gwajima.
Ushaidi dhairi upo na nadhani umeuona.
Mhe. Wote tunajua unavyompenda Makonda na wote tunajua unavyoipenda clouds media.
Hapo ndipo kazi inapokuwa ngumu.
Naomba niishie hapo mkuu.
Nakupa pole sana.
Indeed it has been a very bad week to you Mr. President.